Ugumu wa maisha ndio umemkimbiza Lissu kutoka Ubelgiji

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,019
Reaction score
6,825
Imefahamika sasa kilichomkimbiza Lissu kutoka Ubelgiji ni ugumu wa maisha. Kwa sasa Ubelgiji maisha yako juu sana mara 2 ya Tanzania kwa kigezo cha mfumko wa bei.

What is Belgium's current inflation rate?

In January 2023, the inflation rate in Belgium fell to 8.05 per cent, which shows a decrease in the inflation rate compared to last month. The lowest inflation rate was visible in January 2021

What is the inflation rate in Tanzania in December 2022?
Tanzania's Annual Inflation was Slightly Down to 4.8% in December 2022, Annual Average of Up to 4.3% From 3.7% in 2021. The National Bureau of Statistics of Tanzania (NBS)
 
Lissu na wenzake walishakaribishwa nyumbani na Rais wakaambiwa hali ni shwari, ndio akarejea baada ya mashauriano na viongozi wenzake chamani.

Hilo la inflation haliwezi kuwa na ukweli wowote ambapo ametuambia akiwa Ubelgiji, alikuwa treated kama mlemavu, hivyo kuna unafuu wa vitu mbalimbali alikuwa akiupata kwasababu ya hali yake.
 
Huo ni uongo unadhani anajitunza huyo anatunzwa jua Hilo kaombwa kuja kuhamasisha Siasa ili CCM Ishindee Sasa Kaa jione unaongea ukweli
 
Kwani alikuwa anafanya kazi huko Belgium?

Au alikuwa anachukua incapacity benefit?
Kama ni benefit basi nyumba ni bure na hela za kujikimu anapewa tena nyingi tu kama ni ulemavu

Ila kama alikuwa na kazi ni mengine pia ila watu wapo wanaishi Ulaya ingawa kila kitu kiko juu ila kila mmoja anapambana na hali yake kama unavyopambana wewe huko

Kwa kweli leo mtu ambae yuko Europe akimbilie bongo kisa maisha magumu atakuwa mwehu huyo

Njoo na sababu zingine
 
Mlisema harudi na sasa amerudi. Ugumu wa maisha mkubwa uko wapi belgium au tz? Mimi si mchumi lakini inflation pekee si kigezo kizuri. Jaribu tena.
 
Imefahamika sasa kilichomkimbiza Lissu kutoka Ubelgiji ni ugumu wa maisha. Kwa sasa Ubelgiji maisha yako juu sana mara 2 ya Tanzania kwa kigezo cha mfumko wa bei.

What is Belgium's current inflation rate?

In January 2023, the inflation rate in Belgium fell to 8.05 per cent, which shows a decrease in the inflation rate compared to last month. The lowest inflation rate was visible in January 2021

What is the inflation rate in Tanzania in December 2022?
Tanzania's Annual Inflation was Slightly Down to 4.8% in December 2022, Annual Average of Up to 4.3% From 3.7% in 2021. The National Bureau of Statistics of Tanzania (NBS)
Eeegh kama mfumuko wao uko ivyo na wetu uko less than 4.3% basi Mwiguru angepewa tuzo kabisa kama takwimu zake za inflation sio za kubumba otherwise nae aende motoni kama dictator JPM
 
Lissu na wenzake walishakaribishwa nyumbani na Rais wakaambiwa hali ni shwari, ndio akarejea baada ya mashauriano na viongozi wenzake chamani.

Hilo la inflation haliwezi kuwa na ukweli wowote ambapo ametuambia akiwa Ubelgiji, alikuwa treated kama mlemavu, hivyo kuna unafuu wa vitu mbalimbali alikuwa akiupata kwasababu ya hali yake.
Ni kweli , mbona hawakuja walipoambiwa, kwa nini sasa?
 
Eeegh kama mfumuko wao uko ivyo na wetu uko less than 4.3% basi Mwiguru angepewa tuzo kabisa kama takwimu zake za inflation sio za kubumba otherwise nae aende motoni kama dictator JPM
Abumbe Ili iwaje? Kwani takwimu anatoa yeye au BoT?

Inflation yetu ni 4.8%
Screenshot_20221208-223213.png
 
Imefahamika sasa kilichomkimbiza Lissu kutoka Ubelgiji ni ugumu wa maisha. Kwa sasa Ubelgiji maisha yako juu sana mara 2 ya Tanzania kwa kigezo cha mfumko wa bei.

What is Belgium's current inflation rate?

In January 2023, the inflation rate in Belgium fell to 8.05 per cent, which shows a decrease in the inflation rate compared to last month. The lowest inflation rate was visible in January 2021

What is the inflation rate in Tanzania in December 2022?
Tanzania's Annual Inflation was Slightly Down to 4.8% in December 2022, Annual Average of Up to 4.3% From 3.7% in 2021. The National Bureau of Statistics of Tanzania (NBS)
Sio kweli maana jamaa kila kitu kilikuwa ni free , unampakazia bure
 
Inflation ndio kigezo kikubwa kinapima cost of living regardless of GDP ya Nchi.
Inflation ni kuhusu bei za vitu i achangia kwenye UGUMU wa maisha. Lakini ugumu wa maisha una mengi zaidi-level ya maendeleo kama miundo mbinu mfano umeme, maji, usafiri etc. Sasa niambie bado unaamini belgium ina maisha magumu zaidi ya tz?
 
Kote huko tunacholipa sie kinaendana na uwezo na Uchumi wao,vyote hivyo huko ulaya wanalipa zaidi kushinda sisi, kwenye chakula na malazi ndio usiguse.
 
Imefahamika sasa kilichomkimbiza Lissu kutoka Ubelgiji ni ugumu wa maisha. Kwa sasa Ubelgiji maisha yako juu sana mara 2 ya Tanzania kwa kigezo cha mfumko wa bei.

What is Belgium's current inflation rate?

In January 2023, the inflation rate in Belgium fell to 8.05 per cent, which shows a decrease in the inflation rate compared to last month. The lowest inflation rate was visible in January 2021

What is the inflation rate in Tanzania in December 2022?
Tanzania's Annual Inflation was Slightly Down to 4.8% in December 2022, Annual Average of Up to 4.3% From 3.7% in 2021. The National Bureau of Statistics of Tanzania (NBS)
Propaganda za kijinga namna hii pelekea mama yako
 
Mlisema analipwa na mabeberu, sasa amerudi nyumbani mmebadilisha gia angani,
Mnakuja na hoja dhaifu kwamba Ubelgiji maisha magumu?!

Uvccm hamueleweki, mnatapatapa
 
Back
Top Bottom