Ugumu wa maisha ndio umemkimbiza Lissu kutoka Ubelgiji

Hakuna mtu anayeweza kutoka Europe au US/Canada akarudi Tanzania eti kwa sababu maisha ya ughaibuni ni gharama na Tanzania ni nafuu, labda kama haujawahi kuishi nchi za dunia ya kwanza ndiyo unaweza kuuamini upuuzi huo.
 
ndiyo imeshatokea hivyo au kaja tu kwa mda
 
Yaani ukimbie maisha magumu ulaya penye uhakika wa daywaka uje bongo pasipo uhakika.
Huo ni uongo
 
Hamchoki?mnatumia bando kwa habari zisizo na Tija kwa Mhusika
 
Unaliwa kiboga wewe sio bure!

Sent from my Nokia G21 using JamiiForums mobile app
 
Hujui hata kutunga uongo na anayekulipa kutokana na hizi propaganda za uongo atakushangaa.
 
Duh! Ujuaji mwingine bhana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…