Ugumu wa Maisha ni hatari kwa usalama wa Taifa, serikali ichukue tahadhari

wewe mpumbavu unaongea takataka.

Mwaka juzi mwezi wa sita tulikuwa tunanunua mchele kulo 1600 leo unanunua 3200 ongezeko la asilimia 100% ndani ya miezi 24

umeshiba kande unakuja kuongea ujinga hapa.
taja jina la mwaka usiwe unabahatisha mwaka ili tukutajie mwaka bei ya unga ilikua juu inaonekana mchele umeanza kutumwa mwaka 2022 mwaka juzi ndio kitugani?
 
Kati ya CCM na andazi unachagua nini?

Nilishawahi kusema sehemu kuwa, Siku watanzania wakichoka na kuamua kuiingia barabarani, Jumuiya za kimataifa zitaiingiliaa na damu itamwagika na hapata kalika


Iwafikie CCM kwenye jalada
Hahahaha
 
Aiseee, ni hatari kabisa,
 
Ugumu wa maisha mnaisikia nyie wafuasi wa kibwetere aka mwendazake. Sisi walamba asali tumeona kazi nzuri ya mama .
 
Vyuma vimekaza Kweli Kweli.

Bora kuwa mbwa huko Marekani kuliko kuwa mwanadamu Tanzania
 
Mimi ninayesema haya nipo field na ushahidi wa haya ninayoyasema ninao.
Wewe pengine ni mwaajiriwa au ni kaka , dada au ni mtoto wa mwaajiriwa, hivyo haya yote huwezi jua.
Mlala kwa shemeji huyo asikuumize kichwa
 
Kati ya CCM na andazi unachagua nini?

Nilishawahi kusema sehemu kuwa, Siku watanzania wakichoka na kuamua kuiingia barabarani, Jumuiya za kimataifa zitaiingiliaa na damu itamwagika na hapata kalika


Iwafikie CCM kwenye jalada
Hahaa naona maandazi yamepanda chart
 
Sio kwa watz ninao wajua yaani tz kufa ufufuke hakiwezi tokea kitu kama hicho sababu ni unafiki jamii yawanafiki haijawahi panga jambo likafanikiwa kwahio bro wetetea tumbo lako na familia yako
Aliyeturoga alikaza haswaa hakuachia kaupenyo hata kidogo.
 
Walamba asali wapo njiani kuongeza tozo mpya......swala la ugumu wa maisha haliwahusu wao na familia zao.
 
Na ni Dhahiri kwamba kuanzia Mwezi wa Tano mwishoni kwenda wa Sita Pesa itakwenda kwa Wakulima na Wafugaji.

Wawe na Akili tu waanze kuuza Mazao yao kwa Bei ya Juu!

Hakuna Jinsi watauza kwa Sababu Majirani wana Njaa.

Pili ni Ile Biashara ya Mifugo Hai kwenda Uarabuni-ikiwa Vile Vigezo vimekwishafanyiwa kazi-Wafugaji nao watapata Pesa na hivo Mzunguko utashuka chini.

Robo ya Pili mwishoni tutaanza kuona Pesa!

Robo ya Tatu na ya Nne mambo kwa Tanzania yatakuwa Matamu sanaa!!

Hiyo ndo Dira
 
kwa sasa maisha sio magumu kama yalivyokuwepo kipindi cha mwendazake, wamejitahidi. wafanyabiashara wanajua hili. wanaoendelea kulalamika subirini wawaletee pesa nyumbani kwenu.
Wewe utakuwa Banyamulenge siyo Mtanzania!
 
Changamoto ni kwamba kila mtu anapambana na hali yake mifumo imekwama wataa;amu wa kimombo watudadavulie maana usemi huu 'business success will also depend upon government working systems'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…