Kwa JPM chakula kilikuwa bei ya chini mno,, sasa hiviii hakishikiki,,
Kwa JPM kutoka Dar kwenda Mwanza nilikuwa nalipa Tsh 45,000/- napanda basi la kiwango,,, sasa hivi hii ni nauli ya Dodoma - Mwanza
Kwa JPM kijana mtafutaji alikuwa akiwa na mtaji wa laki moja anaingia mjini anafanya kazi bila usumbufu,,,, sasa hivi mgambo wananguvu mno
Yote kwa yote kijana aliyekuwa anafanya ufundi (masuala ya ujenzi) Kwa JPM alikuwa analipwa Tsh, 25,000/- per day ambayo bado analipwa mpaka leo pamoja na ongezeko la bei kwenye mahitaji muhumu,,, kijana huyu ukimwambia maisha yalikuwa magumu kwa Mwendazake am sure asipokuchapa kofi la nguvu uende kusali kwa iman yako