Naona wanaoumia wanazidi kuongezeka na Wana hasira za wazi na wengine wameweka hasira moyoni wanasubiri siku ya kupakwa wino.
Tatizo Sekta zote za utumishi wa Umma zimepunguza ufanisi wale ma mangi meza wamerudi.
MH. Ana lengo zuri kuhakikisha haki za Binadamu zinatamalaki ingawa washika dau wanatekeleza Kwa kinyume chake wanataka haki za mashoga NK. Kule Polisi Wananchi wanakata tamaa kupeleka kesi mtaani wanasema pamoja na kutendewa uhalifu hawaoni sababu ya kupeleka malalamiko Kutokana na haki za Binadamu Kuwa kigezo cha kuwaachia wahalifu sugu.
Mahakama nayo imechangamkia tenda kuachia watuhumiwa hata wale tunaowafahamu kwamba ni Majambazi na wauwaji hizi kesi ndogo ndogo ndiyo usiseme.
Leo tunasikia habari za jirani kuhusu Mtumishi wa Mungu kufanya yake tunaona kama hayatuhusu hatujiulizi mpaka amefikia hapo alianza lini? Mtumishi mwingine aliyekamatwa alikuwa ameandaa MKUTANO mkubwa Dodoma ambako amenunua Eneo kubwa je,tunafahamu maandalizi yake yamelenga nini?
Je,ni KWELI tunauzalendo wa NCHI hii? Je Kuna watumishi WANGAPI wa Aina ya Mchungaji huyu? Sheria zimewashindwa KILICHOBAKIA NI kusubiri yatupate kama ya jirani.