mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
AndaziKati ya CCM na andazi unachagua nini?
Nilishawahi kusema sehemu kuwa, Siku watanzania wakichoka na kuamua kuiingia barabarani, Jumuiya za kimataifa zitaiingiliaa na damu itamwagika na hapata kalika
Iwafikie CCM kwenye jalada
Una akili za kipuuzi kama Zitto, wakati Magufuli yupo hai unajuwa mchele na unga tulikuwa tunanua kiasi gani?kwa sasa maisha sio magumu kama yalivyokuwepo kipindi cha mwendazake, wamejitahidi. wafanyabiashara wanajua hili. wanaoendelea kulalamika subirini wawaletee pesa nyumbani kwenu.
Usijidanganye, hakuna siku maisha yatakuwa rahisi, fanya kazi kwa bidii.Ni Ukweli mchungu kwamba mtaani hali ni ngumu sana kuanzia upatikanaji wa pesa mpaka bei za bidhaa .binafsi mbali na kwamba ni muajiriwa lakini pia najishughulisha na biashara zinazogusa moja kwa moja wananchi kwa hiyo ninachoandika nina kifahamu vizuri .
Kwa hali ilivyo sasa anaweza tokea mtu au mwanaharakatika akaunganisha watu wafanya maandamano makubwa sana ambayo yanaweza yasiishe SALAMA .
Watanzania ni wapore sana lakini Njaa inaweza mfanya mtu akafanya chochote kile .
Hivyo Bunge na serikali kwa ujumla suala la ugumu wa maisha hususani bei za vyakula fanyeni kitu kupunguza ugumu huo .
Ugumu wa Maisha Tanzania ni WA kujitakia nenda shamba ulime.Ni Ukweli mchungu kwamba mtaani hali ni ngumu sana kuanzia upatikanaji wa pesa mpaka bei za bidhaa .binafsi mbali na kwamba ni muajiriwa lakini pia najishughulisha na biashara zinazogusa moja kwa moja wananchi kwa hiyo ninachoandika nina kifahamu vizuri .
Kwa hali ilivyo sasa anaweza tokea mtu au mwanaharakatika akaunganisha watu wafanya maandamano makubwa sana ambayo yanaweza yasiishe SALAMA .
Watanzania ni wapore sana lakini Njaa inaweza mfanya mtu akafanya chochote kile .
Hivyo Bunge na serikali kwa ujumla suala la ugumu wa maisha hususani bei za vyakula fanyeni kitu kupunguza ugumu huo .
Watu wenyewe wakuingia barabarani wapo wapi? Hawa wa. Jf wengi hata kura hawapigiKati ya CCM na andazi unachagua nini?
Nilishawahi kusema sehemu kuwa, Siku watanzania wakichoka na kuamua kuiingia barabarani, Jumuiya za kimataifa zitaiingiliaa na damu itamwagika na hapata kalika
Iwafikie CCM kwenye jalada
gunia 9,000Tsh? ivi unajua gunia wewe au kwenu gunia ni kitu gani? vitu kama ujui tulia aiseeUgumu wa Maisha Tanzania ni WA kujitakia nenda shamba ulime.
Mwisho maisha Huwa magumu masika sio saizi kipindi Cha mavuno ,gunia la Mahindi Mkoani kwangu ni sh.9,000 kutoka 22,000 mwezi december-March Sasa huo Ugumu ni upi?
Usalama wa Taifa kwa tafsiri ya mafisadi ni usalama wa mkuu wa nchi.Ni Ukweli mchungu kwamba mtaani hali ni ngumu sana kuanzia upatikanaji wa pesa mpaka bei za bidhaa .binafsi mbali na kwamba ni muajiriwa lakini pia najishughulisha na biashara zinazogusa moja kwa moja wananchi kwa hiyo ninachoandika nina kifahamu vizuri .
Kwa hali ilivyo sasa anaweza tokea mtu au mwanaharakatika akaunganisha watu wafanya maandamano makubwa sana ambayo yanaweza yasiishe SALAMA .
Watanzania ni wapore sana lakini Njaa inaweza mfanya mtu akafanya chochote kile .
Hivyo Bunge na serikali kwa ujumla suala la ugumu wa maisha hususani bei za vyakula fanyeni kitu kupunguza ugumu huo .
Nyie ndiyo watoto vipoda, hata Gunia ujui ni nini afu unakuja kucoment huku, nyuzi zenu zipo nyingi nenda hata kwenye Mapishi kule.Ugumu wa Maisha Tanzania ni WA kujitakia nenda shamba ulime.
Mwisho maisha Huwa magumu masika sio saizi kipindi Cha mavuno ,gunia la Mahindi Mkoani kwangu ni sh.9,000 kutoka 22,000 mwezi december-March Sasa huo Ugumu ni upi?
Kuna wajinga huwa wanapiga kelele kusifia kila kitu kwa sababu tu wako kwenye ulaji au biashara zao zinashamiri kwa sababu ya rushwa. Siku nchi itakapolipuka ndiyo watajuta na kujua kuwa wao ndiyo walitakiwa wawe wa kwanza kupiga kelele kuhusu uongozi mbovu.Kati ya CCM na andazi unachagua nini?
Nilishawahi kusema sehemu kuwa, Siku watanzania wakichoka na kuamua kuiingia barabarani, Jumuiya za kimataifa zitaiingiliaa na damu itamwagika na hapata kalika
Iwafikie CCM kwenye jalada
na samia lipo limekaa tu kazi kufuturisha.!Ni Ukweli mchungu kwamba mtaani hali ni ngumu sana kuanzia upatikanaji wa pesa mpaka bei za bidhaa .binafsi mbali na kwamba ni muajiriwa lakini pia najishughulisha na biashara zinazogusa moja kwa moja wananchi kwa hiyo ninachoandika nina kifahamu vizuri .
Kwa hali ilivyo sasa anaweza tokea mtu au mwanaharakatika akaunganisha watu wafanya maandamano makubwa sana ambayo yanaweza yasiishe SALAMA .
Watanzania ni wapore sana lakini Njaa inaweza mfanya mtu akafanya chochote kile .
Hivyo Bunge na serikali kwa ujumla suala la ugumu wa maisha hususani bei za vyakula fanyeni kitu kupunguza ugumu huo .
swali la kichocheziKati ya CCM na andazi unachagua nini?
Nilishawahi kusema sehemu kuwa, Siku watanzania wakichoka na kuamua kuiingia barabarani, Jumuiya za kimataifa zitaiingiliaa na damu itamwagika na hapata kalika
Iwafikie CCM kwenye jalada
wewe mpumbavu unaongea takataka.
Mwaka juzi mwezi wa sita tulikuwa tunanunua mchele kulo 1600 leo unanunua 3200 ongezeko la asilimia 100% ndani ya miezi 24
umeshiba kande unakuja kuongea ujinga hapa.
Kwa JPM chakula kilikuwa bei ya chini mno,, sasa hiviii hakishikiki,,kwa sasa maisha sio magumu kama yalivyokuwepo kipindi cha mwendazake, wamejitahidi. wafanyabiashara wanajua hili. wanaoendelea kulalamika subirini wawaletee pesa nyumbani kwenu.
kati ya vipindi watanzania waliishi maisha magumu na hawakutakiwa kulalamika ni kipindi chake. tuwe wakweli.Kwa JPM chakula kilikuwa bei ya chini mno,, sasa hiviii hakishikiki,,
Kwa JPM kutoka Dar kwenda Mwanza nilikuwa nalipa Tsh 45,000/- napanda basi la kiwango,,, sasa hivi hii ni nauli ya Dodoma - Mwanza
Kwa JPM kijana mtafutaji alikuwa akiwa na mtaji wa laki moja anaingia mjini anafanya kazi bila usumbufu,,,, sasa hivi mgambo wananguvu mno
Yote kwa yote kijana aliyekuwa anafanya ufundi (masuala ya ujenzi) Kwa JPM alikuwa analipwa Tsh, 25,000/- per day ambayo bado analipwa mpaka leo pamoja na ongezeko la bei kwenye mahitaji muhumu,,, kijana huyu ukimwambia maisha yalikuwa magumu kwa Mwendazake am sure asipokuchapa kofi la nguvu uende kusali kwa iman yako
Maisha ya Sasa yamekuwa Bora Sana kuliko enzi hzo, kwanza kwasasa Hakuna sehem ambayo machinga ananyanyaswa, Hakuna wale jamaa wa unanijua mm🤣, sahzi Hakuna tabaka linalo nyanyasa na kunyanyaswa....Kwa JPM chakula kilikuwa bei ya chini mno,, sasa hiviii hakishikiki,,
Kwa JPM kutoka Dar kwenda Mwanza nilikuwa nalipa Tsh 45,000/- napanda basi la kiwango,,, sasa hivi hii ni nauli ya Dodoma - Mwanza
Kwa JPM kijana mtafutaji alikuwa akiwa na mtaji wa laki moja anaingia mjini anafanya kazi bila usumbufu,,,, sasa hivi mgambo wananguvu mno
Yote kwa yote kijana aliyekuwa anafanya ufundi (masuala ya ujenzi) Kwa JPM alikuwa analipwa Tsh, 25,000/- per day ambayo bado analipwa mpaka leo pamoja na ongezeko la bei kwenye mahitaji muhumu,,, kijana huyu ukimwambia maisha yalikuwa magumu kwa Mwendazake am sure asipokuchapa kofi la nguvu uende kusali kwa iman yako
Rais wako huyona samia lipo limekaa tu kazi kufuturisha.!
hopeless country.
Uwe na kauli Nzuri kwa viongozi au hukulelewa kuwaheshimu watu. Hili swala la maadili lipo chini Sana naona wazaz tunazembea sehemu.na samia lipo limekaa tu kazi kufuturisha.!
hopeless country.