Tetesi: Ugumu wa Maisha Tanzania wasababisha AAR kufunga ofisi zake Tanzania

Tetesi: Ugumu wa Maisha Tanzania wasababisha AAR kufunga ofisi zake Tanzania

Kama miaka mitano ya mwendazake imetuachia hali hii vipi kama angemalizia kumi yote mambo yangekuwaje?

Kuna watu wengi sana wamepoteza ajira kipindi cha utawala wake, wapo wengi ambao hawakuajiriwa kabisa, na hata wale waliokuwa wameajiriwa wakawa wanalia kupandishwa madaraja na mishahara.

Sijui kwanini bado hatujifunzi kama taifa, kwamba panahitajika mpango maalum utaohakikisha unafuatwa na kila Rais atakaeingia madarakani ili kuhakikisha hali kama hiyo haijirudii tena, badala ya hivi sasa kila Rais kuja na vipaumbele vyake, tutakuja kulia tena mbele ya safari.
 
Acheni mambo yenu, sasa Kama shida ilikua mwenda zake, si wabakie! Si kunamama ambaye mnadhani si mzalendo?!

AAR! Wahuni hao. Nimedeal nao miaka kibao?!

Fanyeni tafiti kabla ya kuandika.

Kazi iendelee!
 
Acheni mambo yenu, sasa Kama shida ilikua mwenda zake, si wabakie! Si kunamama ambaye mnadhani si mzalendo?!

AAR! Wahuni hao. Nimedeal nao miaka kibao?!

Fanyeni tafiti kabla ya kuandika.

Kazi iendelee!!!!!
😆😆😆😆
 
Kama miaka mitano ya mwendazake imetuachia hali hii vipi kama angemalizia kumi yote mambo yangekuwaje?

Kuna watu wengi sana wamepoteza ajira kipindi cha utawala wake, wapo wengi ambao hawakuajiriwa kabisa, na hata wale waliokuwa wameajiriwa wakawa wanalia kupandishwa madaraja na mishahara.

Sijui kwanini bado hatujifunzi kama taifa kwamba panahitajika mpango maalum utaohakikisha unafuatwa na kila Rais atakaeingia madarakani ili kuhakikisha hali kama hiyo haijirudii tena, badala ya hivi sasa kila Rais kuja na vipaumbele vyake, tutakuja kulia tena mbele ya safari.
Aibu kubwa sana !
 
Si tulikubaliana tumeingia uchumi wa kati?
FB_IMG_1597733863117.jpg
 
Acheni mambo yenu, sasa Kama shida ilikua mwenda zake, si wabakie! Si kunamama ambaye mnadhani si mzalendo?!

AAR! Wahuni hao. Nimedeal nao miaka kibao?!

Fanyeni tafiti kabla ya kuandika.

Kazi iendelee!!!!!
Huyo aliharibu mazingira yote ya uwekezaji Tanzania, na uwepo wa mama leo wakati hali zao kiuchumi zimeshayumba hautasaidia kitu, ndio maana wanaondoka, na ukisema ni wahuni uhuni wao ni upi? vipi hao Tigo nao uliwahi ku-deal nao?
 
Kwa sasa imani ya uwekezaji mkubwa ipo watarudi tu, ndiyo maana lile shirika wamekataa kuwaongezea mikataba ya bima kwa wafanyakazi wake🤔🤔
 
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi

Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi .
Ingekuwa jambo jema kama ungetupa taarifa kama baada AAR kufunga na kuondoka labda kuna upungufu wa upatikanaji wa huduma za afya kuliko kuleta uchochezi wa kishamba.
 
Back
Top Bottom