Tetesi: Ugumu wa Maisha Tanzania wasababisha AAR kufunga ofisi zake Tanzania

Tetesi: Ugumu wa Maisha Tanzania wasababisha AAR kufunga ofisi zake Tanzania

Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi.

Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi.
Acheni uongo fanyeni hata utafiti ktk Internet hiyo kampuni imepata hasara kubwa sana uko kenya makuu yake na ndio imesababisha kufungwa hapa TZ
 
Acheni uongo fanyeni hata utafiti ktk Internet hiyo kampuni imepata hasara kubwa sana uko kenya makuu yake na ndio imesababisha kufungwa hapa TZ
Hasara Kenya , kufungwa Tanzania ! Asante kwa kuthibitisha hizi tetesi
 
kama tulibishana na jiwe hadi akaondoka kupitia Mzena kuna Inner cycle ipi tena itatutisha ?
Nyie mnajifariji kubishana na chuma na kushinda kwasababu amefariki? Nje ya mauti mlimuweza? Mnapambana na maiti? [emoji57] . Imeuzwa AAR health care na si AAR Insurance! Sina time na political figures kama nyie hasa kwenye cheap spinning kama hii.
 
Tigo na zantel wanahama Africa nzima siyo Tanzania tu wanataka kuboresha zaidi uko kwa mabeberu na biashara Africa wameacha
Huyo aliharibu mazingira yote ya uwekezaji Tanzania, na uwepo wa mama leo wakati hali zao kiuchumi zimeshayumba hautasaidia kitu, ndio maana wanaondoka, na ukisema ni wahuni uhuni wao ni upi? vipi hao Tigo nao uliwahi ku-deal nao?
 
Taarifa ni ya muda mrefu hii,kama sikosei zaidi ya Mwezi. Huku Tigo ( na Zantel) wanaondoka wanauza kampuni

Tulikuwa tunaelekea kubaya sana, Mama ana kazi nzito sio kidogo na itachukua miaka 10 mpaka 20 kurudi katika hali ya kawaida ya mwanzo
Hao tigo na zantel ni kukwepa kulipa kodi tu.
Vodacom hawajawahi kamwe kubadili jina lakena wengine.
 
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi.

Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi.
Mbona Bakhresa hafungi?
Ukileta janja janja utaondoka tu
Hizo taasisi zilikua zinanufaika kwa kupiga hesabu kubwa kwenye bili za wagonjwa wenye bima haswa NHIF
Sasa hivi bili zinahakikiwa na wafamasia na wahasibu na madaktari wanaojua Bei za dawa,pia lazima wawe na Bei elekezi wa wagonjwa wa kulala operation n.k
Mirija ya wizi imefungwa lazima wafungashe
 
Ndio mkuu, Nenda pale Mikocheni kwa Warioba ndio Makao Makuu yao na sasa hivi wamejiongeza wanatoa hadi General Insurance!

Basi hapa mataga wanajichanganya maana wanachangia mada kwa kusema AAR imekufa baada ya serikali kuanzisha NHIF na kusisitiza kabisa kwamba serikali zamani ilkuwa inatumia AAR kwa bima ila baada ya kuanzisha NHIF serikal ikasomba wafanyakazi wakajiunga na NIHF hivyo AAR ikakosa soko.
 
Kama unakusanya kidogo watoza ushuru wanataka kikubwa unaachia ngazi. Tuone hicho kidogo watakipata wapi
 
Basi hapa mataga wanajichanganya maana wanachangia mada kwa kusema AAR imekufa baada ya serikali kuanzisha NHIF na kusisitiza kabisa kwamba serikali zamani ilkuwa inatumia AAR kwa bima ila baada ya kuanzisha NHIF serikal ikasomba wafanyakazi wakajiunga na NIHF hivyo AAR ikakosa soko.
AAR Insurance ipo mdg wangu achana na uongo uongo wa ufipa. Kama yupo anayesema AAR Insurance imekufa tuweke dau hapa, naweka milioni 3! Kama yupo aliye tayari aseme tu deposit kwa Melo mshindi anabeba zote. Iliyokufa ni AAR Health care inayomiliki clinics.

Tena kesho wana tukio kubwa live kwenye social media zao kuanzia saa 1 usiku!
 
AAR Insurance ipo mdg wangu achana na uongo uongo wa ufipa. Kama yupo anayesema AAR Insurance tuweke dau hapa, naweka milioni 3! Upo tayari sema tu deposit kwa Melo mshindi anabeba zote. Iliyokufa ni AAR Health care inayomiliki clinics.

Tena kesho wana tukio kubwa live kwenye social media zao kuanzia saa 1 usiku!

Mkuu nakubaliana na wewe ,sema the way nilivyoandika unaweza ukafikiri kwamba nasema AAR insurance ndio imekufa,nilikuwa namwambia jamaa kwamba MATAGA ndio wanaisema AAR insurance kwamba imekufa wakati mada ni AAR Hospital,moja ya justification ya mataga ndio hiyo niliyoiandika kwamba AAR imekufa kwasababu ya serikali kuanzisha NHIF.
 
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi.

Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi.
Hao waKenya ni waongo tu,pesa wamevuna sana,msiwe mnarukia ujanja ujanja wa watu.

Mimi ninalipiwa na ofisi Milion 70 ya matibabu pamoja mke na watoto wangu wawili tu,lakini kwa mwaka hatutumii hata milion 1, na baada ya huo mwaka ndo kifurushi kinaisha na hakirudi wanalipwa tena!! na watu wa hivyo wanaolipa au kulipiwa na ofisi bila matibabu makubwa kwao ni wengi sana,watasemaje kuna ugumu?huo ni uongo mkubwa, sema tu sisi waTanzania kakitu kadogo bila uchunguzi tunaanza kuongea mengi na kutukana nchi yetu. Ni ujinga sana kufatilia habari fulani na kuiamini na kuanza kutengeneza lawama kwa nchi.
 
Mkuu nakubaliana na wewe ,sema the way nilivyoandika unaweza ukafikiri kwamba nasema AAR insurance ndio imekufa,nilikuwa namwambia jamaa kwamba MATAGA ndio wanaisema AAR insurance kwamba imekufa wakati mada ni AAR Hospital,moja ya justification ya mataga ndio hiyo niliyoiandika kwamba AAR imekufa kwasababu ya serikali kuanzisha NHIF.
Ni kweli kabisa. Sio sera tu ya NHIF bali industry nyingi ambazo serikali iliamua kubakiza biashara kwa taasisi zake imeleta negative impact kubwa sana.

Siwezi kulaumu sana hilo kutegemea na mpango mkakati wa serikali ambao sometimes unaweza usiwe wazi! Inawezekana ilihitajika namna ya kuyapa nguvu mashirika ya umma yaweze kushindana bila serikali kuweka ruzuku on expense of some private sector kufa lakini in long run fair competition irejee.

Uchumi huru wenye mipango huru hata mabeberu kama USA pamoja na level waliyofikia lakini mikakati mingine ni top secret. Nafikiri ingefika sehemu tungekuwa na haki ya kulaumu na kuangalia mbadala kama mashirika haya yangeshindwa kujiendesha na huku tuna mipango hafifu ya kufufua private sector.

Pamoja na mapungufu yetu lakini 10 yrs to come kama Madam atajenga kwenye msingi wa mazuri ya JPM tutaona matunda.
 
Back
Top Bottom