Wewe ndio utakua mjinga! Uliwahi kuona wapi wamefanikiwa kwa mabavu yao hayo?
Wao ni nani hadi wawe so special kutohojiwa !?
Ina maana ulikua unaunga mkono usiginaji wa katiba wa wazi wazi eti bila kufanya hivyo hakuna mafanikio?
Basi ndio maana Africa itakua bara la mwisho kimaendeleo sababu ya wajinga au watu wenye mawazo ya kijinga kama wewe!
Acha kuandika mambo kama mtu ambaye hajaenda shule. Mabavu gani wameyatumia wakati kila kitu kiko kwenye katiba?
Look, nchi kama Ujerumani ambayo ina Chancellor wake Angela Merkel inapata shida kuchukua maamuzi ya kufanya ili kuondokana na janga la Corona kwa sababu ya freedom ambazo states zake zinazo. Wana uhuru huonkwa sababu wao mababubzao wamaesha wajengea msingi.
Sisi hatutaweza fika popote tukiendekeza mambo ya kuwa kama wao. Mbona wachina wameweza kivyao?
Mimi sijakataa kwamba wao wasihojiwe ila nilichokuwa napinga ni kwamba kumwaona Magufuli ndiye mkosaji wa yote wakati sio kweli, kwani hata Nyerere alikuwanwatu hawamhoji. Afadhali Magufuli mpaka wasanii kama akina Masanja wamepata nafasi ya kuingia Ikulu. Siku za nyuma hata picha za ndani ya Ikulu tulikuwa hatzioni.
Sikiliza ndugu usiwe nanillusion ya kufikiri katiba ndiyo mkombozi wa mazizo yako ya kiuchumi. Angalia ndugu zetu wakenya wana katiba babu kubwa, lakini imewapeleka wapi kiuchumi. Watu wanao nufaika ni majournalist tu. Mtu wa kawaida bado yuko kwenye slams tena afadhali na sisi.
Hakuna kitu kinafanyika huko. Nchi imejawa na madeni kibao na mpaka badari yao ya Momnbsa wameiweka rehani kwa wachina. Na ukiangalia hizo hela walizo kopa kwa ajili kueta maendeleo ya kiuchumi zimewapeleka wapi? Na kwanini wawe na madeni makubwa wakati wana population ndogo na nchi yao pia ni ndogo ukilinganisha na ya kwetu.
Afrika itabaki masikini kwa watu wenye fikra kamanzako zankutaka kuiga mafanikio ya wenzako. Ungepata kuwajua wazungu kwanza nafikiri usinge kuwa na mawazo hao. Wewe mtu anakuua hadharani, wewe bado unamsujudu tu, alafu unataka kuniambia mimi ni mjinga. Mimi ni type of people ambao najiamini. Sina time ya kusujudu binadam wenzangu, kisa ni nini? Rangi yao?