Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Lakini ni aheri kuwa na wateja laki 4 wa uhakika kuliko kuwa na wateja million 50.6 wa mashaka au ambao hawafikii bei na maybe 1% ya hao watu ndio wako knowledgable kuhusu hio bima.AAR kama bima ya afya tegemeo laio kubwa lilikuwa wafanyakazi wa serikali na taasisi zake walikuwa wakihonga maafisa wa serikali ili wafanyakazi wakatiwe bima kwao serikali baada ya kuanzisha bima ya afya kwa ajili yao ya NHIF kwa wafanyakazi wake ikala kwao .Sekta binafsi ipo si wangejikita kutafuta soko huko? Wafanyakazi wa serikali wako chini ya laki nne wakati watanzania wako milioni 60 wangetafuta soko huko
Watu laki 4 + wachache wanaojiweza kwenye taasisi za kimataifa kila mtu akichangia mfuko kwa laki 5 kwa mwaka unaweza kuwakamua around 200+ billion za uhakika utafananisha na watu ambao hata muamko wa bima wengi hawana na wapo willing kuchangia less than 100K kwa mwaka sio zaidi ya hapo!
Uanze tena na gharama za kuwashawishi ndio wajiunge yani walivyosepa ni sawa tu! Kuendesha kampuni kubwa sana kwa makusanyo ya 50B kwa tochi ngoma ngumu utafukuza sana wafanyakazi aheri ku shut down tu!