Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
😆😆😆😆Acheni mambo yenu, sasa Kama shida ilikua mwenda zake, si wabakie! Si kunamama ambaye mnadhani si mzalendo?!
AAR! Wahuni hao. Nimedeal nao miaka kibao?!
Fanyeni tafiti kabla ya kuandika.
Kazi iendelee!!!!!
Si tulikubaliana tumeingia uchumi wa kati?Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi
Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi .
Aibu kubwa sana !Kama miaka mitano ya mwendazake imetuachia hali hii vipi kama angemalizia kumi yote mambo yangekuwaje?
Kuna watu wengi sana wamepoteza ajira kipindi cha utawala wake, wapo wengi ambao hawakuajiriwa kabisa, na hata wale waliokuwa wameajiriwa wakawa wanalia kupandishwa madaraja na mishahara.
Sijui kwanini bado hatujifunzi kama taifa kwamba panahitajika mpango maalum utaohakikisha unafuatwa na kila Rais atakaeingia madarakani ili kuhakikisha hali kama hiyo haijirudii tena, badala ya hivi sasa kila Rais kuja na vipaumbele vyake, tutakuja kulia tena mbele ya safari.
Si tulikubaliana tumeingia uchumi wa kati?
Huyo aliharibu mazingira yote ya uwekezaji Tanzania, na uwepo wa mama leo wakati hali zao kiuchumi zimeshayumba hautasaidia kitu, ndio maana wanaondoka, na ukisema ni wahuni uhuni wao ni upi? vipi hao Tigo nao uliwahi ku-deal nao?Acheni mambo yenu, sasa Kama shida ilikua mwenda zake, si wabakie! Si kunamama ambaye mnadhani si mzalendo?!
AAR! Wahuni hao. Nimedeal nao miaka kibao?!
Fanyeni tafiti kabla ya kuandika.
Kazi iendelee!!!!!
Uchumi wa kati ulikuwa chato tuuSi tulikubaliana tumeingia uchumi wa kati?
sisi ndiyo tumewekwa mtu kati 🚶♂️ 🚶♂️Si tulikubaliana tumeingia uchumi wa kati?
Ingekuwa jambo jema kama ungetupa taarifa kama baada AAR kufunga na kuondoka labda kuna upungufu wa upatikanaji wa huduma za afya kuliko kuleta uchochezi wa kishamba.Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi
Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi .
Una akili kuliko wanaccm wote ! hongera sana mkuuIngekuwa jambo jema kama ungetupa taarifa kama baada AAR kufunga na kuondoka labda kuna upungufu wa upatikanaji wa huduma za afya kuliko kuleta uchochezi wa kishamba.
Mama habari ya Ccm inaingia wapi hapa?Una akili kuliko wanaccm wote ! hongera sana mkuu
Inaingia kwa kuzalisha zao bora IdugundeMama habari ya Ccm inaingia wapi hapa?