Acheni uongo fanyeni hata utafiti ktk Internet hiyo kampuni imepata hasara kubwa sana uko kenya makuu yake na ndio imesababisha kufungwa hapa TZHii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi.
Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi.
Hasara Kenya , kufungwa Tanzania ! Asante kwa kuthibitisha hizi tetesiAcheni uongo fanyeni hata utafiti ktk Internet hiyo kampuni imepata hasara kubwa sana uko kenya makuu yake na ndio imesababisha kufungwa hapa TZ
kama tulibishana na jiwe hadi akaondoka kupitia Mzena kuna Inner cycle ipi tena itatutisha ?Unabishana na inner cycle dogo ...hata hamuelewi nini kinaendelea ...
Nyie mnajifariji kubishana na chuma na kushinda kwasababu amefariki? Nje ya mauti mlimuweza? Mnapambana na maiti? [emoji57] . Imeuzwa AAR health care na si AAR Insurance! Sina time na political figures kama nyie hasa kwenye cheap spinning kama hii.kama tulibishana na jiwe hadi akaondoka kupitia Mzena kuna Inner cycle ipi tena itatutisha ?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Una akili kuliko wanaccm wote ! hongera sana mkuu
Huyo aliharibu mazingira yote ya uwekezaji Tanzania, na uwepo wa mama leo wakati hali zao kiuchumi zimeshayumba hautasaidia kitu, ndio maana wanaondoka, na ukisema ni wahuni uhuni wao ni upi? vipi hao Tigo nao uliwahi ku-deal nao?
Hao tigo na zantel ni kukwepa kulipa kodi tu.Taarifa ni ya muda mrefu hii,kama sikosei zaidi ya Mwezi. Huku Tigo ( na Zantel) wanaondoka wanauza kampuni
Tulikuwa tunaelekea kubaya sana, Mama ana kazi nzito sio kidogo na itachukua miaka 10 mpaka 20 kurudi katika hali ya kawaida ya mwanzo
Mbona Bakhresa hafungi?Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi.
Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi.
Mkuu una uhusiano wowote na RPC Lazaro ?Kuna watu wamezaliwa na akili za kuvukia barabara tu
Ndio mkuu, Nenda pale Mikocheni kwa Warioba ndio Makao Makuu yao na sasa hivi wamejiongeza wanatoa hadi General Insurance!
AAR Insurance ipo mdg wangu achana na uongo uongo wa ufipa. Kama yupo anayesema AAR Insurance imekufa tuweke dau hapa, naweka milioni 3! Kama yupo aliye tayari aseme tu deposit kwa Melo mshindi anabeba zote. Iliyokufa ni AAR Health care inayomiliki clinics.Basi hapa mataga wanajichanganya maana wanachangia mada kwa kusema AAR imekufa baada ya serikali kuanzisha NHIF na kusisitiza kabisa kwamba serikali zamani ilkuwa inatumia AAR kwa bima ila baada ya kuanzisha NHIF serikal ikasomba wafanyakazi wakajiunga na NIHF hivyo AAR ikakosa soko.
AAR Insurance ipo mdg wangu achana na uongo uongo wa ufipa. Kama yupo anayesema AAR Insurance tuweke dau hapa, naweka milioni 3! Upo tayari sema tu deposit kwa Melo mshindi anabeba zote. Iliyokufa ni AAR Health care inayomiliki clinics.
Tena kesho wana tukio kubwa live kwenye social media zao kuanzia saa 1 usiku!
Hao waKenya ni waongo tu,pesa wamevuna sana,msiwe mnarukia ujanja ujanja wa watu.Hii ndio taarifa mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa kwamba ile Taasisi inayotoa huduma bora za afya imeamua kusitisha huduma zake nchini Tanzania kutokana na anguko la biashara na uchumi.
Tuendelee kutega sikio kwa taarifa zaidi.
SinaMkuu una uhusiano wowote na RPC Lazaro ?
πππSina
Ni kweli kabisa. Sio sera tu ya NHIF bali industry nyingi ambazo serikali iliamua kubakiza biashara kwa taasisi zake imeleta negative impact kubwa sana.Mkuu nakubaliana na wewe ,sema the way nilivyoandika unaweza ukafikiri kwamba nasema AAR insurance ndio imekufa,nilikuwa namwambia jamaa kwamba MATAGA ndio wanaisema AAR insurance kwamba imekufa wakati mada ni AAR Hospital,moja ya justification ya mataga ndio hiyo niliyoiandika kwamba AAR imekufa kwasababu ya serikali kuanzisha NHIF.