Ugumu wa maisha ya ndoa

Dem aliomba ushauri kwa shost ake, shost ake akaja kwako hivo nawe ni shost ake na shost [emoji23][emoji23][emoji23] chain za umbea zipo hivo
[emoji23][emoji23][emoji23]hapana mie sio shost wao bwanaa mbona hivo
 
Mwambie huyo manyama uzembe afanye mazoezi afunge kula

Wanawake wengi mibonge mibonge huwa haidumu kwenye ndoa

Huyo jamaa naye aachwe akae peke yake aendelee na ulokole wake akiwa single kwa miezi kadhaa atapata akili upya

Kwa kifupi hapo hakuna ndoa tena na hakuna ushauri unaweza kuinusuru hiyo ndoa

Ukikaa vizuri na huyo mlokole unaweza kupata ukweli wote ambao huyo Dada mjumbe hajakuambia
 
Mumewe sio rafiki yangu, pia ni mtu mzima anakaribia 50 huko,kukaa kuongea nae ni ngumu unless anianze
 
Mumewe sio rafiki yangu, pia ni mtu mzima anakaribia 50 huko,kukaa kuongea nae ni ngumu unless anianze
Basi unapoteza muda wako bure

Mwanaume akifika miaka 45 mambo ya kufikishana kileleni au kuwa bize na mapenzi huwa hana tena

Huyo Dada avumilie yote mwanaume Kamzidi zaidi ya miaka 20 hakuna lolote unaweza kufanya hapo zaidi ya kutupotezea muda wetu
 
Kaa kimya, kusoma hujui reasoning nayo sifuri.

Kuna sehem nimesemaa Nina shost pale.
Shost yako aliambiwa na shost yenu ambae mmesoma wote na mmekua mashost toka vidudu.

Usikarike mkuu ni wewe ndie ulieyaandika hayo si mimi!! Bidada anakuchulia wewe kama shost yake ndio sababu ya kukwambia hayo mambo yawahusuyo wao wanawake.
 
Mda mwingine wadada wasiwe na shauku sana ya ndoa, haya ndo wanayoyakuta.

Halafu Binti mwenyewe alikuwa BIKIRA kuna muda unahafiki kuwa Bora kuonjana kabla ya ndoa kwa namna kama hii[emoji23][emoji23]
 
Mda mwingine wadada wasiwe na shauku sana ya ndoa, haya ndo wanayoyakuta.

Halafu Binti mwenyewe alikuwa BIKIRA kuna muda unahafiki kuwa Bora kuonjana kabla ya ndoa kwa namna kama hii[emoji23][emoji23]
Hao waacheni tu watajua wenyewe wasikupotezee muda wako bure
 
Shost yako aliambiwa na shost yenu ambae mmesoma wote na mmekua mashost toka vidudu.

Usikarike mkuu ni wewe ndie ulieyaandika hayo si mimi!! Bidada anakuchulia wewe kama shost yake ndio sababu ya kukwambia hayo mambo yawahusuyo wao wanawake.
[emoji1][emoji1] hapana mkuu siwez kasirika màaana najuaa matani mengi sana humu, mie siwez kuwa shost wake
 
Uwezekano ni mkubwa kuwa Dada amekuhadithia Stori kwa kuvutia kwake, usikute Jamaa kuna mahali anamalizia Shahawa zote na akirudi Nyumbani anakula kimoja tu anajilalia zake.
 
Uwezekano ni mkubwa kuwa Dada amekuhadithia Stori kwa kuvutia kwake, usikute Jamaa kuna mahali anamalizia Shahawa zote na akirudi Nyumbani anakula kimoja tu anajilalia zake.
Inaweza kuwa ni kweli lakini pia hata umri wa jamaa na jinsi mkewe alivo bonge sana sidhani kama anavutia kama mwanzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…