Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru ndugu kwa HiloMkuu hapa umetoa boko soma story yake kwa umakini utaelewa
Usikubali kufa na tai shingoni, sema usaidiweRai Kwa wanawake ukitaka kuchepuka na upo kwenye ndoa usimwambie shost yako yoyote ata Yule unaelewawa naye sana ukijifanya unamwambia jua ndyo atakuwa wakwanza kuvunja ndoa yako
Nawe unaamini kuwa ni chai[emoji23][emoji23]Chai bora kilele cha ubora,
Chai bora ni majani ya TATEPA,
Iwe na maziwa, isiwe na maziwa,
Vyovyote vile utachangamka !!!
[emoji443][emoji448]
Mie ni born talented mkuuKwa ulivyoeleza inaelekea we jamaa umbea unaumudu vizuri yaani unasimulia km unatunong'oneza..
Tumemaliza mitihani yetu mkuuVijana wamesha vamia humu tena.
Hongereni Mungu awafanyie wepesi katika matokeo yenuTumemaliza mitihani yetu mkuu
Asante mkuuHongereni Mungu awafanyie wepesi katika matokeo yenu
Sawa kakaAcha Kufuatilia Maisha Ya Watu Pambana Na Hali Yako
Huyo jamaa mwenyewe ndio wewe. Pole mkuu.
NYIE WATU MNANICHEKESHA😀😀😀😀Ni mwenyewe masikini sasa anahangaika kujifanyisha ni mtu mwingine mpaka details zinaparaganyika.
Wikendi hii nitakuja kwako nikupe busara fulani hivi. Jumamosi au Jumapili...[emoji870][emoji870][emoji870]
Unakuaje na urafiki na watoto wa kike tu? Au ndo Mambo ya mji mzito?Mambo vipi?? Wakubwa shikamoni!!
Miaka takribani 10 iliyopita nilikuwa na urafiki na wadada wawili ambao ni o level classmates wangu. Tulikuwa close sana kiasi kwamba kujua ni nani anawafatilia ilikuwa ni issue normal.
Wakati tunamaliza o level , mmoja wa rafiki yangu kati ya wale wawili alibahatika kuolewa kwa ndoa ya kanisani. Binti alikuwa ni bonge, black, haga analo, sio mrefu sana wala mfupi sana.
Miaka imeenda wakabahatika pata mtoto wa kiume, maisha yakaendelea as normal, na sasa huyo kijana wao anamiaka minne.
Kuna siku huyu rafiki wa pili akanipigia simu na kunishirikisha magumu anayopitoa shost wake kwenye ndoa, inasemekana jamaa HAJIWEZI KAMA MWANAMME (NAJUA WAKUU MSHAELEWA) hilo sio suala, suala ni kuwa jamaa ni mbishi hataki kutumia dawa kuweza kutibu tatizo lake.
Mdada anatamani kuongeza familia lakin jamaa ndohivo kimoja chali na kwa shida sana, amejaribu kwenda nae hospitali lkn jamaa ni mlokole sana hataki madawa.
Imefikia pindi huyu mkewe anataka chepuka sasa (kumbuka hii stori naambiwa na huyo rafiki yangu mwingine wa kike ambaye ni shost ake) lkn anahofia sababu hajakuzwa ktk maadili hayo.
KWA UPANDE mwingine nahic hata mwili wa huyu dada umechangia kwa kias fulani labda jamaa kukosa hamu kwa mkewe, kama nilivyosema huyu dada ni mnene lakin sasa amekuwa TIPWA TIPWA zaidi cjui unanipata navosema tipwa tipwa yani nikama yule video vixen wa ule wimbo KILA AKIPITA MINYAMAA TUU ... MWENZAKO NINAUGONJWA WA MOYOOO .... CHI CHI CHIBONGEEE CHI CHI CHIBONGEEE.
Lakini pia za chini ya kapeti ni kuwa huyu jamaa ilikuwa inasemekana hana uwezo wa kutungisha mimba, KUMBUKA mwane anamiaka minne lakini huyo mtoto kaja kupatikana miaka takribani mi3 kama sio miwili baada ya ndoa yao.
SWALI la kujiuliza kama jamaa hawezi kutungisha mwanamke mimba may be due to low sperm count, huyu mtoto waliyenae walipataje??
Au kuna jamaaa alimsaidia ili kuondoa aibu ya kuwa jamaa sio rijali??
Mie nawe hatujui.
Ndoa zinasiri nyingi usione watu wanafurahi mitaani ukahisi ndani kumetulia.
KabisaMie ni born talented mkuu