Uhaba na Ubaguzi kwenye Pesa itakuwa nguzo kuu ya anguko la CCM miaka michache ijayo

Uhaba na Ubaguzi kwenye Pesa itakuwa nguzo kuu ya anguko la CCM miaka michache ijayo

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Nguvu ya kiuchumi inabeba ushawishi mkubwa sana katika nyanja mbalimbali za maisha hapa Duniani.

CCM itavugika tu pale tu pesa itakapokuwa ni taabu miongoni mwao hasa ubaguzi wa fursa za kiuchumi

Nawaibia siri tu shida za kiuchumi, fursa za kiuchumi na kipesa ndani ya CCM ndio silaha kubwa ya anguko la CCM.

Support ya watu wengi ndani ya CCM na CCM yenyewe hutegemea manufaa ya kiuchumi au kipesa kupitia vyeo, uteuzi, hasa kupatikana kwa riziki.

Hata taasisi, utendaji wa serikali na vyombo vya dola kwa CCM hutegemea maokoto ya uchumi au pesa.

Ni hivyo tu njaa huleta chuki na shibe huleta uchawa. Hakuna mwana CCM ambaye ni kisiwa cha pekee yake katika nyanja za maisha.

Tafakari iendelee

Tuendelee na comments.

Wadiz
 
Tunasubiri bei mpya za mafuta kutoka ewura,kisingizio kitakua middle east crisis.
 
Back
Top Bottom