Uhaba wa chakula mwaka 2023 utakuwa mbaya zaidi kuliko watu wengi wanavyodhani, tujiandae

Kumbe zile story za Tumia akili za FDR Bado zipo kichwani sio!!?

Ngoja tuone!!
 
Ngoja tuone pia asante kwa tahadhari.

#MaendeleoHayanaChama
 
Asante sana mkuu,uko mbali kwa ufahamu,congratulations.
 
MakinikiA Wewe ni mwoga[emoji1782]. Akili yako inaogopa kusikia ukweli. Ila haitakusaidia.
Ukweli ni lazma usemwe
 
Nothing will happen sukuma Gang mpo brainwashed mnaomba mabaya kwa nchi yetu ili iweje
 
Mchele unazidi kushuka hapa Tandika Michelle mzuri unapata kwa 2200 kutoka 2800 haitotokea nchi yetu ipate njaa hata siku moja . Kama Taifa lilimlilia Mungu akamuondoa mkabila akaja sa100

Mwaka 2023 utakuwa mwaka mzuri sana
 
Nothing will happen sukuma Gang mpo brainwashed mnaomba mabaya kwa nchana
Nothing will happen sukuma Gang mpo brainwashed mnaomba mabaya kwa nchi yetu ili iweje
Mkuu Nadhani wewe ndo nikuite sukuma gang mkubwa,wewe si ndo ulikuwa mfuasi wa bashiru aliyetaka kupindisha urais wa mama yetu Samia ili aweke genge lake la wahuni ,au unadhani hukulikani!!?
 
Mbona siku nyingi hamna chakula, nenda Somali, nenda Ethiopia , njoo hapa Longido . Watu wanakufa mkuu
 
Ukiona jitu linaongea sana lazima lina vina saba ya kike
Kiongozi wako anafungua mipaka nendeni mkamueleze hayo mambo yenu ya njaa
 
Mtoa post unatabiri vipi hali mbaya ya chakula wakati mvua hujajua zitanyesha kiasi gani? Kilimo chetu kinategemea mvua kwa zaidi ya 90%, kama mvua zitanyesha vizuri bila kuzidi au kupungua basi mavuno yatakuwa mengi sana tu. Usitishike na feae forecast za UN hao wana lengo la kutufanya tuwe na wasiwasi ili tuendelee kuwasujudu wazungu. Cha msingi tumuombe Mungu atuletee mvua sahihi ili tulime kwa nguvu tupate mazao basi maisha yaende.
 
Kuna kilimo cha Green House usisahau kuna watu wamewekeza Irrigation system ma-acre kwa ma-acre, hawategemei tena mvua wamejenga mabwawa ya kudumu ili kuondokana na hio kadhia ya kusubiria mvua kila mwaka, jaribu kufuatilia vizuri mkuu
 
Sio mimi siwezi kua Choko kirahisi mkuu labda wewe mimi nipo tayari kufa njaa sio kufumuliwa Malinda

Nawasilisha mkuu
Neno hata ni mfano tu,Sio HALISI!!japo ushoga kuruhusiwa ni mmoja ya conditions za misaada kwa NCHI ZETU zinazoendelea!!
 
Kuna kilimo cha Green House usisahau kuna watu wamewekeza Irrigation system ma-acre kwa ma-acre, hawategemei tena mvua wamejenga mabwawa ya kudumu ili kuondokana na hio kadhia ya kusubiria mvua kila mwaka, jaribu kufuatilia vizuri mkuu
Wanaweza lisha NCHI nzima Hao!?
 
Hivi mbolea ya viwandani inaizidi kweli mbolea ya samadi?.
Ndugu yangu we acha tu!!! Afrika tuna "Biomass" yakutosha inayozalishwa kwa mwaka anayoweza kukidhi hitaji letu la mbolea "organic". Lakini, kinachoendelea silielewi!
 
Maelezo meengi upuuuzi tu ,mbona unafungua post majukwaa tofauti tofauti what's wrong,kamweleze Rais wako sio sisi
Una changamoto gani Ndugu? Funguka usaidiwe, usijibebeshe mizigo mizigo kichwani kwa sababu utavunja UTI wa mgongo wako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…