Uhaba wa Chenji: Kero kwa Wanunuzi na Wafanyabiashara

Huku mwisho ulivyomaliza nalazimika kukuuliza bwana… na wewe ni mmiliki wa madaladala?!

Kuna shida gani mkilipwa shilingi “500” kwa safari kutoka kwa kila raia?! Mbona mnapata pesa nyingi sana kwa siku?! 🤔

Dah aisee! Kumbe akili zenu wamiliki hufananaga na madereva na makonda wenu eeh?! 😀
 
Waislamu ni shit kwenye uongozi
 
Similiki hata tyre ya baiskeli lakini kusema kwamba wanapata pesa nyingi ndio iwe sababu ya kutochukua nauli sahihi kisa uzembe wa serikali.
 
Waislamu ni shit kwenye uongozi
Sidhani kama imani ya mtu ina nafasi kwenye kuleta maendeleo ya wananchi, hata hivyo serikali ina viongozi wenye imani tofauti. Kwa hiyo hatuwezi kulaumu imani ya kiongozi
 
Sidhani kama imani ya mtu ina nafasi kwenye kuleta maendeleo ya wananchi, hata hivyo serikali ina viongozi wenye imani tofauti. Kwa hiyo hatuwezi kulaumu imani ya kiongozi
Tumia akili ...

imani ina nafsi sana ..kuna mikoa tz waliendekeza imani za kuofia uchawi wakabaki masikini hadi leo ..kizazi kipya ndiyo kinaleta maendeleo sasa kwa kuziacha hizo imani za kipumbavu ....hivyo hivyo kwa UISLAMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…