Tunaofanya biashara ya saluni, utaratibu wa kupata leseni ni kulipia kwanza kibali cha BASATA kupitia tovuti yao, kisha kuomba leseni ya biashara kwa Shilingi 40,000 kwa mwaka. Hata hivyo, wafanyabiashara wengi hatufahamu utaratibu wa kulipa service levy kupitia mfumo wa Tausi wa halmashauri...
Anonymous
Thread
biashara
biashara ya saluni
elimu
hatuna
kuhusu
malipo
service
service levy
wadogowafanyabiasharawafanyabiasharawadogo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wafanyabiashara ndogo maarufu kama Machinga kutumia fursa wanazopata kujiendeleza na kuachana na biashara ndogo, akisema lengo ni kuwawezesha kukua hadi kuwa wafanyabiashara wakubwa na walipakodi.
Akizungumza leo, Oktoba 7, 2026, wakati...
Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi za kibiashara, hasa kwa wafanyabiashara wadogo wanaotaka kuanza au kukuza biashara zao. Ukweli ni kwamba, kuna aina fulani za biashara ambazo zina mzunguko mkubwa wa fedha (high turnover) — yaani bidhaa au huduma zinauzwa kwa kasi kila siku.
Kama unatafuta...
Nimeenda gengeni leo kununua bidhaa, nilikuwa sina mahitaji ya hivyo ni kitu kidogo tu cha shilingi mia mbili, nimempa muuzaji mia tano lakini ananiambia hana chenji.
Nikaenda magenge mengine kama matatu hali ni hiyohiyo, ikabidi niondoke bila ya kununua ninachohitaji.
Hali pia kwenye usafiri...
Zaidi ya wafanyabiashara 374 wa mbogamboga, wakiwemo wauza nyanya waliokuwa wakifanya biashara mbele ya Soko la Wazi la Machinga Complex jijini Dodoma, wameiomba serikali kuharakisha ujenzi wa marumaru (pavement) katika eneo hilo.
Wamesema ucheleweshaji wa mradi huo umeathiri kwa kiasi kikubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.