POCOLOKO
Senior Member
- Sep 1, 2010
- 174
- 201
Kumbuka Anachofanya Russia Leo walifanya watangulizi wake kipindi cha USSRWameweka masharti magumu Kwa Nchi changa,
Russia akishinda vita minyororo Afrika itakatika.
Viongozi wetu ndio wamekuwa watu wasio na Shukrani wameshindwa kusimama na aliewapigania wakati ambao hakukuwepo na mwingine wa kufanya hivyo
Marekani amekutana na Russia vitani Mara nyingi zaidi na zote Marekani amekimbia
Syria
Afghanistan na kokote kule ambako US alipeleka majeshi kwa kisingizio cha "democracy" kumbe ni kibaka mzoefu kote huko anakutana na Mrusi field anakimbia anaacha vifaa porini atetee uhai wake
Mrusi anapigana na Mataifa yote yenye NATO na ni Mataifa makubwa na mpaka sasa yamechemka