Uhaba wa Dola; Wafanyabiashara wa Kariakoo wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

Hakuna uhusiano wowote wa unachokiongea na kuadimika kwa $ .

Hayo maduka yapo miaka na miaka hata kabla ya jiwe kuyafunga na hakujawahi kutokea uhaba wa $.
 
Waliambiwa kuna siku watamkumbuka mwamba huyu wakaendelea kujihadaa na uramba asali na uchawa uchwara.
 
Wewe kila siku huwa nakuambia unasumbuliwa na ujinga wa kihalaiki. Jana nilikupa ushahidi wa dola ilivyoadimiKa middle East hata huko quwait wamekataza kufanya biashara kwa dola ww unataka ushahidi gani ???? Au hujui kimombo?
🤣🤣 ujinga wa kihalaiki? Aisee
 
Wamkumbuke yule katili?[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]hebu kuwa serious bhana yule alowatesa wafanyabiashara wakaishi kama mashetani leo wamkumbuke?[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Huna malinda
 
Kaka naomba nicheki kwa namba hizi hapa whatup!

I wrote caution andiko Jana kwenye social media kwamba tunaenda kukumbwa na wimbi la dollar scarcity soon!

Naona yameanza kariakoo!Duuu

+255746726484

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Nyie wafuasi wa jiwe acheni upumbavu tatizo la dora kuadimika liko karibia nzima na hii inasababishwa na wenye dora yao kupunguza $ kwenye mzunguko ya wa biashara duniani ili wapambane na mfumko wa bei kwenye nchi yao.
Hiyo kupungua naelewa kwenye mzunguko naelewa, ila nilichokuuliza ni pale wewe umesema wenye dollar yao wameiondoa kwenye mzunguko, hili ndo naomba ushahid
 
🤣🤣 ujinga wa kihalaiki? Aisee
Ujinga wa kihalaiki ndiyo... collective cimbilization.Unakubali kujingishwa nawe unajingishwa. Umeambiwa dola zimepungua kote duniani na ukapewa na sababu. Kwasababu mna majibu yenu mnayotaka kusikia ili mpeane faraja wewe unataka ushahidi! Kwani si utafute taarifa? Au unataka kusema kwasababu mwigulu ndiyo wazir wa fedha nq SSH ndiyo raisi ndo mana hamna dola?
 
Mwandishi huna akili. Dola kuadimika hakuwezi kuwafanya wamkumbuke yule jambazi wa kidola. Alikwapua fedha kwenye akaunti za wafanyabiashara na watu binafsi mwizi yule asosameheka muuaji aliyesahau naye angekufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…