Uhaba wa Dola; Wafanyabiashara wa Kariakoo wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

Inabid dola iingie kama cash
 
Kwa hiyo ndugu yangu kwa taarifa ulizonazo hifadhi ya USD Dolla imepungua mpaka kufikia kiasi gani hapa nchini by April 30/ 2023 na ilivyokuwa April 30/ 2021

Taifa kama china hifadhi ya Dola by April 30/2023 na ilivyokuwa by April 30/2021.
Tuangalie je kweli zimepungua kwa aslimia ngapi kwa kila Nchi.
Tuchukue mfano wa nchi zingine kama
1. Botswana
2.Rwanda
3.Uganda
4.vietinam
5. India

Nataka tuone je ni nchi gani hifadhi ya USD DOLA imeporomoka, imementain au imeongezeka na tujiulize kwa nini?

Mojawapo ya Kazi kubwa ya Serikali ni kulinda ustawi wa uchumi wa nchi.
 
Unadhani viongozi wa Tz walitakiwa kufanya nn ili kudhibiti hili ?
Kwa kiongozi yeyote makini, kila ishara kwake inampa kujua kitakachojiri na hivyo kuweka mipango madhubuti kukabiliana na hicho

Tangu mgogoro wa mafuta bado kiongozi analala tu bila kujipanga na athari zaidi?
 
Unadhani tukae hivyo hivyo bila solution

Viongozi walitakiwa wawe wameshalifanyia mbadala wake tayari kabla halijaleta mzozo

Hiyo ndo maana ya kiongozi, unataka mpaka watu waandamane ndo mtafute ufumbuzi?
hujui ku control supply ya hizo dolla ndio moja ya hatua hizo?
 
Wabongo vigeu geu maguful alipora pesa na assets za wafanya biashara wa bureau de change leo wanasema wanamkumbuka
Hakuna watu wanafiki kama waswahili
Yaani wao upepo ukivuma mashariki wanaufuata tu
 
Unadhani tukae hivyo hivyo bila solution

Viongozi walitakiwa wawe wameshalifanyia mbadala wake tayari kabla halijaleta mzozo

Hiyo ndo maana ya kiongozi, unataka mpaka watu waandamane ndo mtafute ufumbuzi?
Hujui lolote kuhusu uchumi na utawala wewe ymejawa na mihemko
 
Inabid dola iingie kama cash
Wameweka sheria nyingi sana la kwanza. Pili technologia ya sasa huna sababu ya kwenda na dollar Tanzania na serikali inapenda technologia hii kwasababu wana uhakika wa kodi. Hivyo bank inabidi zianze kuleta dollar na sio kutegemea watu. Gharama za bank kuleta dollar Tanzania ni 1% au $1 kwa kila $100
 
Magu atakumbukwa daima
 
Uhaba wa Dola ni Dunia nzima sababu US kabana kupunguza mfumko wa bei nchini kwake.
Eti JPM duh fuatilieni mambo ya duniani kidogo basi msiaibike kizembe.
 
Ni ujingi kila tatizo likitokea tunalinganisha Na wezetu khaa
 
Kwa kiongozi yeyote makini, kila ishara kwake inampa kujua kitakachojiri na hivyo kuweka mipango madhubuti kukabiliana na hicho

Tangu mgogoro wa mafuta bado kiongozi analala tu bila kujipanga na athari zaidi?
Njia pekee ya kuepuka hilo ni kuwa wauzaji wakubwa badala ya kuwa wanunuzi wakubwa kitu ambacho kinahitaji miaka mingi nchi kama tz kukifikia.

Mfano nchi kama UAE ,Saudia,Qtaar,Uchina na nchi nyingi za Ulaya haziwezi kuwa na uhaba mkubwa wa $ kwa sababu wao wanafanya biashara kubwa na Marekani.
 
Ni ujingi kila tatizo likitokea tunalinganisha Na wezetu khaa
Hakuna nilipolinganisha bali nimemuelezea sababu ya tatizo ilipo.

Mwenye uwamuzi wa $ kuwa nyingi au chache kwenye mzunguko ni Marekani yenyewe na sio Samia.
 
Dah kuna uhaba si kidogo wa dola
 
Haudumu huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…