Uhaba wa Dola; Wafanyabiashara wa Kariakoo wamkumbuka Hayati Rais Magufuli

Mwandishi huna akili. Dola kuadimika hakuwezi kuwafanya wamkumbuke yule jambazi wa kidola. Alikwapua fedha kwenye akaunti za wafanyabiashara na watu binafsi mwizi yule asosameheka muuaji aliyesahau naye angekufa.
Ukitaka kumuua nyani lazima umpe jina baya.
 
Suluhisho la muda mrefu ni kujitahidi kuzalisha mahitaji na sio kuwa tegemezi wa kuagiza / Tuanze na Nishati..., Dawa n.k.
 
Magufuli angekuwepo angechapisha dola au siyo?
 
Uchumi wa kifisadi kila mtu anafanya anavyojisikia.
 
Mkuu kuna mabadiliko kidogo kwenye US monetary Policy wamepandisha interest rate controll overheating ya uchumi wao ila janga limeathiri dunia nzima.

Kenya wafanyabiashara walikuwa wanakuja kununua dola Tanzania source sio Serekali. Sema serekali nayo inaruhusu kuagizwa kwa vitu hata hapa bongo vinapatikina kama madekio na funiture, tunapoteza dola bure tu.
 
Magufuli angekuwepo angechapisha dola au siyo?
Mbona huwa mnashupaza sana shingo nchi ikishakuwa ya kifisadi "grand corruption, yaani ya rushwa kubwa kubwa athari zake ndo hizo, mtu akiiba billion 10 hawezi kuutunza kwenye tsh kwa usalama wake lazima ataibadil kuwa dollar.

Hapo ndo artificial demand ya dollar inapotekea, tumeona leo hii nchi wezi wanaiba mabilion kwa mabillion kwa mujibu wa report ya CAG.
 
Binadamu kweli LAWAMA [emoji1787][emoji1787]

Task Force" ikasemwa inatumia nguvu kubwa kwa B.E.....

Ni changamoto tu za maisha...
 
Sasa alosema wanamkumbuka nani.
Hivi kweli kuna mfanyabiashara anaweza kumkumbuka yule hayawani?
 
Wakati wa Mwendazake hapakuwa na demand ya dola maana biashara ya nje (import) iliporomoka sana.
Sasa hivi demand ya dola ni kubwa sababu biashara zinafufuka tena.

Uwepo wa bureau de change sio factor kabisa, ni hisia zenu tu.
Na hata zile dola alizowapora Wafanyabiashara nyingine zilikutwa Chato kwenye mifuko na majaba! Nyingine zilifichwa China & Canada hivyo hazikusaidia uchumi wa nchi bali yeye na genge lake.

Acheni siasa na lawama za rejareja - issue ni Demand and Supply.
Mbeleni kutakuwa na equilibrium, mtatulia.
 
Hili halina uhusiano na Magufuli, acheni mada za kijinga za kumtukuza shetani wa Chato hata kwa mambo ambayo yanasababishwa na nguvu nje ya mwanadamu. Kwani yule hayawani angefanya nini kwenye kipindi kama hili cha mgogoro wa UKRAINE?
 


Halafu baada ya hapo unatafuta sababu za kusingizia wengine.

Ni vitu vya kushangaza sana nchi hii yaani watu wanachukua hatua na kuachia mambo; halafu baada ya hapo wanatafuta wakumsingizia.

Ubadharifu unapokuwa mkubwa serikalini unatengeneza artificial economy kwenye demand side na haya ndio madhara.

Sasa wewe uache watu waibe mihela kirahisi unadhani wengine watazificha wapi, hapo hapo ulegeze masharti ya bureau de change.

Halafu wanatoka na upuuzi Magufuli ndio chanzo, sijui US imezuia dollar; the nonsense is beyond.

Yaani kila kitu ovyo hawajamaliza upuuzi wa LNG ambao huko mbele watanzania watakuja shangaa sana hayo maamuzi. washakimbilia bandari, mara bei ya chakula, mara toll roads, mara BBT; the nonsense is endless.
 
Huo ndio ukweli kiongozi wangu wwtu wanaruka ruka tu kama popcorn mfano mtu amepiga 10% za SGR 20B kama MBARAWA sasa atazificha kwa nin kama sio kwa dollar lazima utengeneze artificial demand ya dollar
 
Lakini dola ilipatikana ya kutosha
$ ni kila sehemu
Jana kujiridhisha nimeenda bank yangu [emoji636] nimeambulia za 20 na 10 tu
Za 100 na 50 hawana
Sio kwa sababu ya Rais

Msifieni kwa mengine na mimi najua alifanya yapi mabaya
Ule ulikuwa ni ujambazi mchana kweupe
 
$ ni kila sehemu
Jana kujiridhisha nimeenda bank yangu [emoji636] nimeambulia za 20 na 10 tu
Za 100 na 50 hawana
Sio kwa sababu ya Rais

Msifieni kwa mengine na mimi najua alifanya yapi mabaya
Ule ulikuwa ni ujambazi mchana kweupe
Ni sababu ya nini?
 
Ni sababu ya nini?
Sielewi kwa kweli ni nini hasa lakini ninachojua Pound imekuwa na nguvu siku za hivi karibuni

Sio kwamba $ hakuna kabisa
Na hili suala la Urusi/Ukraine ni moja ya matatizo haya

Vitu vimepanda bei sana
 
Acha fix
 
Sukuma gang at work
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…