DOKEZO Uhaba wa Kondom Arusha

DOKEZO Uhaba wa Kondom Arusha

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Assalam Aleikum,
Nimekuja Festival toka ijumaa jioni sasa leo kwenye moja-mbili nimeopoa binti Afisa Burudani II nikajiburudishe ila Kondom adimu pharmacy hata maduka madogo ya mitaani (kuanzia stendi kuu, Kijenge hadi Njiro).

Wanadai mzigo ndio umepakiwa Dar unakuja na mabasi ya usiku (kuwasili alfajiri). Imekaaje hii? Niagieni.
 
Assalam Aleikum,
Nimekuja Festival toka ijumaa jioni sasa leo kwenye moja-mbili nimeopoa binti Afisa Burudani nikajiburudishe ila Kondom adimu pharmacy hata maduka madogo ya mitaani (kuanzia stendi kuu, Kijenge hadi Njiro). Wanadai mzigo ndio umepakiwa Dar unakuja na mabasi ya usiku (kuwasili alfajiri). Imekaaje hii? Niagieni
Alaumiwe aliyeandaa Festival kwanini hakuliona hilo
 
Assalam Aleikum,
Nimekuja Festival toka ijumaa jioni sasa leo kwenye moja-mbili nimeopoa binti Afisa Burudani nikajiburudishe ila Kondom adimu pharmacy hata maduka madogo ya mitaani (kuanzia stendi kuu, Kijenge hadi Njiro). Wanadai mzigo ndio umepakiwa Dar unakuja na mabasi ya usiku (kuwasili alfajiri). Imekaaje hii? Niagieni
Afisa ubashiri yupo na Afisa burudanj, agizeni afisa usafirishaji awaletee ndomu hapo au kama vipi chezen peku mtavaa game la pili
 
Lazima ziadimike
IMG_0071.jpeg
 
Assalam Aleikum,
Nimekuja Festival toka ijumaa jioni sasa leo kwenye moja-mbili nimeopoa binti Afisa Burudani nikajiburudishe ila Kondom adimu pharmacy hata maduka madogo ya mitaani (kuanzia stendi kuu, Kijenge hadi Njiro). Wanadai mzigo ndio umepakiwa Dar unakuja na mabasi ya usiku (kuwasili alfajiri). Imekaaje hii? Niagieni
Kwahiyo uliuza mechi au uliahilisha mtanange mpaka mzigo ufike?.
 
Back
Top Bottom