Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Propaganda hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ukipiga bila ndom, hayapitia masaa matatu unaanza kupata homa, then ukiend kukojoa dushe linaanza kutoa vitu havielewi tayari Gono hili hapaInashangaza. Kwa hiyo watu wale mbichi?
Msituletee magonjwa asee. Huku sisi ni kisiwa cha amani. Kwani mzee siku 2 tu unashindwa vipi kuvumilia ukarudi kwenu 😃😃😃Assalam Aleikum,
Nimekuja Festival toka ijumaa jioni sasa leo kwenye moja-mbili nimeopoa binti Afisa Burudani II nikajiburudishe ila Kondom adimu pharmacy hata maduka madogo ya mitaani (kuanzia stendi kuu, Kijenge hadi Njiro).
Wanadai mzigo ndio umepakiwa Dar unakuja na mabasi ya usiku (kuwasili alfajiri). Imekaaje hii? Niagieni.
Assalam Aleikum,

Tumia mafutaAssalam Aleikum,

😄 🤣 umejibu vyema broLazima ziadimikeView attachment 3123252