Uhaba wa Maji na Umeme ungetokea katika Taifa lenye Raia 'wanaojitambua' la Kenya Rais Ruto asingekuwa anazurula zurula tu kama nzi

Unauma huku ukipuliza!

Hoja yako jadidifu ni ya kuifanyia mafumbo hii?

Jamani tuacheni mahaba, kama kusema ukweli ni kumkosea mtu, basi mbwai na iwe mbwai, tuache kumumunya maneno.
 
Hata Dar siyo yote,Mimi Kwetu maji yanatoka kila siku.
 
Hauna akili sijui umeandika kutumia nini
 
Ukweli mchungu sana, Tanzania CCM inaongoza maiti,
 
Hao wakenya wana maisha magumu kiasi kwamba waliopo hapa Tanzania hawatamani kurudi kwao Kenya
Nyir mna maisha mazuri? Mvona ku a wattu wengi mlo ni mmoja tu usiku? Kubali Tanzania imejaa mazezeta
 
Huko Katavi still kuna shida zingine Huduma za Afya ni hovyo,
 
Maisha magumu hata Marekani yapo au China
 
Hii ni kweli,Wakenya wanasema TZ maisha ni mepesi,chakula bei chini
Wkend nenda mipakani iliyo karibu na kenya,utashuhudia hiki,wanatoka kwao na familia wanakuja Tz kula maisha,mipakani wkend ni sherehe za kutosha za Wakenya
Pesa yao vipi? Ni sawa na Mzungu aje Tanzania
 
Sasa ile nchi ya upande wa Kushoto wanaakili basi. Sasa hivi wanauza rasilimali kwa fujo eti wanafanya uwekezaji
 
Niliwahi kusikia Kenya mapema tu magazeti yanayoongelea mambo muhimu kusuhu nchi na mambo ya uchumi yanawahi kuisha , lakini nchi nyingine ya udaku na michezo yanapewa kipaumbele kikubwa na raia wake.
Kabisa Kenya unakuta Mama mvoga anasoma Gazeti la Daily Nation la siasa na uchumi, Bongo Magazeti ya Mwanaspot ndio ya kwanza kuisha. Kenya pale namba unakuta Dreva wa Matatu yuko na gazeti la Uchumi na Siasa, Tanzania unakuta Dreva yuko na Mwanasport
 
Huku sio Mabwege kuna Maiti
 
Acha hizo.
Kenya kuna ukame mkali kuliko huku kwetu, mifugo n hata wanyama porini wanakufa.
Huyo Ruto kamuulie amefanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…