Uhaba wa Maji na Umeme ungetokea katika Taifa lenye Raia 'wanaojitambua' la Kenya Rais Ruto asingekuwa anazurula zurula tu kama nzi

Acha hizo.
Kenya kuna ukame mkali kuliko huku kwetu, mifugo n hata wanyama porini wanakufa.
Huyo Ruto kamuulie amefanya nini?
Ukame tu? Nchi kama za Waarabu hawajahi ona mvua tangu wawepo mbona wanaishi? Akili hamna sasa mnaishi kwa kudra za Mungu? Ndio maana wakina Makala wanawaambia ukame haujaletwa na CCM na nyie mnajichekesha tu mlivyo wajinga.
 
Haya sasa Maji hakuna , kwa uzoefu wako nenda kaishi uarabuni.
 
1. Sishangai sana ndiyo maana hata Kielimu tu Wakenya wamewaacha mbali sana Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi.

2. Sishangai sana ndiyo maana hata Kiakili tu Wakenya wamewazidi mbali mno Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi.

3. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya ni Watu wenye Kujitambua mno na kujua Haki zao kuliko Raia Mabwege wa nchi nyingine.

4. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya wakitembelea Taifa la Raia Mabwege huwashangaa wanavyochezea Fursa zilizoko na wakiendelea kuwa Masikini.

5. Sishangai sana ndiyo maana hata ukiwa Unasoma na Wakenya Darasa Moja mkiwa Darasani Wao ndiyo hupenda mno Kuuliza Maswali ili kupata Uelewa zaidi kuliko wa Taifa la Mabwege ambao wao hutamani Mwalimu / Mhadhiri amalize Kipindi waende katika Baa kupiga Umbea na Kutongozana.

6. Sishangai sana ndiyo maana hata Police wa Kenya wakienda Kumkamata Mkenya huenda na Adabu zote ila katika Taifa la Mabwege Raia wake hukamatwa kama Kuku tena kwa Kudhalilishwa kutokana na Ubwege Wao.

7. Sishangai sana ndiyo maana hata Rais Ruto wa Kenya ana Nidhamu Kubwa kwa Wakenya anaowaongoza akiamini haongozi Maiti tofauti na ilivyo kwa Rais wa nchi ya Mabwege wengi ambae anawafanya atakavyo akiamini kuwa hawana la Kumfanya na Wataendelea Kuyakumbatia matatizo yao makubwa Matatu ya Ujinga, Maradhi na Umasikini mpaka pale Dunia itakapopinduka.

ONYO

Hapa nimeitaja tu nchi ninayoipenda yenye Watu ( Raia ) Werevu ( Intelligent ) pekee ya Kenya na hiyo nyingine yenye 'Mabwege' wengi sijaitaja na Kwanza nimeshaisahau hivyo Wewe njoo na Kiherehere chako ujifanye unaijua ili ukione cha Moto.

Hiyo nchi ya mabwege naijua kwani Raisi jomokenyatta aliwahi kumwambia Raisi wa kwanza wa hiyo nchi ya mabwege kwamba anaongoza maiti.

Hao mabwege wamekuaje hivyo??-- Chanzo kikuu cha ubwege wao ni siasa mbovu za Rais wao wa kwanza na hata yeye mwenyewe alilijua hilo na katika moja ya hotuba zake baada ya kujiuzulu madaraka (yeye aliita kung'atuka) aliwahi kuomba msamaha kwa Mungu akisema kama ni yeye ndiye aliyewafanya wananchi wake wawe jinsi walivyo (mabwege nk) basi Mungu amsamehe.

Onyo:- sijataja nchi hiyo na wala kiongozi huyo aliyewahi kung'atuka, hivyo tuvumiliane kwa kutoa maoni na mitazamo yetu.
 
1. Sishangai sana ndiyo maana hata Kielimu tu Wakenya wamewaacha mbali sana Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi.

2. Sishangai sana ndiyo maana hata Kiakili tu Wakenya wamewazidi mbali mno Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi.

3. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya ni Watu wenye Kujitambua mno na kujua Haki zao kuliko Raia Mabwege wa nchi nyingine.

4. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya wakitembelea Taifa la Raia Mabwege huwashangaa wanavyochezea Fursa zilizoko na wakiendelea kuwa Masikini.

5. Sishangai sana ndiyo maana hata ukiwa Unasoma na Wakenya Darasa Moja mkiwa Darasani Wao ndiyo hupenda mno Kuuliza Maswali ili kupata Uelewa zaidi kuliko wa Taifa la Mabwege ambao wao hutamani Mwalimu / Mhadhiri amalize Kipindi waende katika Baa kupiga Umbea na Kutongozana.

6. Sishangai sana ndiyo maana hata Police wa Kenya wakienda Kumkamata Mkenya huenda na Adabu zote ila katika Taifa la Mabwege Raia wake hukamatwa kama Kuku tena kwa Kudhalilishwa kutokana na Ubwege Wao.

7. Sishangai sana ndiyo maana hata Rais Ruto wa Kenya ana Nidhamu Kubwa kwa Wakenya anaowaongoza akiamini haongozi Maiti tofauti na ilivyo kwa Rais wa nchi ya Mabwege wengi ambae anawafanya atakavyo akiamini kuwa hawana la Kumfanya na Wataendelea Kuyakumbatia matatizo yao makubwa Matatu ya Ujinga, Maradhi na Umasikini mpaka pale Dunia itakapopinduka.

ONYO

Hapa nimeitaja tu nchi ninayoipenda yenye Watu ( Raia ) Werevu ( Intelligent ) pekee ya Kenya na hiyo nyingine yenye 'Mabwege' wengi sijaitaja na Kwanza nimeshaisahau hivyo Wewe njoo na Kiherehere chako ujifanye unaijua ili ukione cha Moto.
Mimi napenda mibwege ipigwe na maisha mpaka ikufe imekua mikondoo mno eti nchi yao inaliwa na machoko wachache tu yenye we mibwege imekaa kimya ngoja ipigike labda kuna siku hiyo mikondoo itajitambua raisi wa mikondoo naomba inyooshe kisawasawa
 
Uhaba wa maji hakuna,ni Dar tu ndio mna hio shida,mna rundikana watu milioni 7 sehemu moja kwa nini msipatwe na ukame,miti mmekata yote

Tokeni huko mje katavi,Acheni kujifanya watu wa mbele kuona magorofa,kuna maisha mazuri maeneo mengine sio Dar tu

Tanzania kuna maji ya kutosha hakuna shida
Tatizo la Dar,wahamiaji ni wengi kuliko wazawa wa Dar! Maana wengi walikuja kusoma vyuoni na ndiyo hawakurudi tena Makwao, ndiyo maana Dar kuna watu wengi sana!!
 
Wewe Taifa halina Maji, Umeme na Tozo juu ila 'Mibwege' imeridhika na Kunyamaza tu wakati Wenzao Wafaransa mwaka 1789 walifanya Revolution Kubwa iliyowakomboa baada ya Bei ya Mkate kupanda huku kwa Dharau kabisa Mke wa Mfalme Louis XVI aitwae Queen Marie Antoinette akiwaambia kama hawawezi kununua Mkate basi wanunue Keki ambayo ina Gharama mara Saba ( 7 ) ya huo Mkate ambao ndiyo ulikuwa Kimbilio Kuu la Masikini wengi huko ( kule ) kama GENTAMYCINE Mimi.
Ila hii nchi ya mabwege wao waliambiwa hamieni kule nchi ya burundi, na mabwege yakaishiaa kulalamika.

Mimi ningeishauri hii nchi ya mabwege ibadilishe jina na kuiitwa DANGANYIKA country badala ya ile inayotumia.

Mabwege hayana chachu ya kufikiria kuwa ugumu wa maisha na mwenendo mbovu wa nchi ni matokeo ya ubwege wao..

niko nje ya nchi ya WADANGANYIKA a.k.a "BWEGE LAND", nitarudi kuwasalimia ila soon nitapambana nipate Uraia wa nchii hii niliyomo maana nimechoka kukaa na mabwege.
 
1. Sishangai sana ndiyo maana hata Kielimu tu Wakenya wamewaacha mbali sana Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi.

2. Sishangai sana ndiyo maana hata Kiakili tu Wakenya wamewazidi mbali mno Raia wa nchi nyingine yenye Mabwege wengi.

3. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya ni Watu wenye Kujitambua mno na kujua Haki zao kuliko Raia Mabwege wa nchi nyingine.

4. Sishangai sana ndiyo maana Wakenya wakitembelea Taifa la Raia Mabwege huwashangaa wanavyochezea Fursa zilizoko na wakiendelea kuwa Masikini.

5. Sishangai sana ndiyo maana hata ukiwa Unasoma na Wakenya Darasa Moja mkiwa Darasani Wao ndiyo hupenda mno Kuuliza Maswali ili kupata Uelewa zaidi kuliko wa Taifa la Mabwege ambao wao hutamani Mwalimu / Mhadhiri amalize Kipindi waende katika Baa kupiga Umbea na Kutongozana.

6. Sishangai sana ndiyo maana hata Police wa Kenya wakienda Kumkamata Mkenya huenda na Adabu zote ila katika Taifa la Mabwege Raia wake hukamatwa kama Kuku tena kwa Kudhalilishwa kutokana na Ubwege Wao.

7. Sishangai sana ndiyo maana hata Rais Ruto wa Kenya ana Nidhamu Kubwa kwa Wakenya anaowaongoza akiamini haongozi Maiti tofauti na ilivyo kwa Rais wa nchi ya Mabwege wengi ambae anawafanya atakavyo akiamini kuwa hawana la Kumfanya na Wataendelea Kuyakumbatia matatizo yao makubwa Matatu ya Ujinga, Maradhi na Umasikini mpaka pale Dunia itakapopinduka.

ONYO

Hapa nimeitaja tu nchi ninayoipenda yenye Watu ( Raia ) Werevu ( Intelligent ) pekee ya Kenya na hiyo nyingine yenye 'Mabwege' wengi sijaitaja na Kwanza nimeshaisahau hivyo Wewe njoo na Kiherehere chako ujifanye unaijua ili ukione cha Moto.
[emoji38][emoji38][emoji38]labda ililaaniwa maana mamtu yake kwanza yanaoneana wivu,chuki,husda na vijicho hacha kabisa limtu lipo tayari mgeni apate nafasi atakama asitahili ila mwenyeji asipate atakama sifa anazo , li nchi la kipumbavu raia wanapenda sana starehe pombe na ngono kuliko kazi ni mavivu ya kutupa,

Li nchi hilo la mabwege lisipo badilika litajikuta lina kizazi cha mabwege pure [emoji108] konk master maana sio kwa ubwege huu yaliyo nao.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom