Uhaba wa maji UDOM na athari zake...

Uhaba wa maji UDOM na athari zake...

TIGOTIGO

Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Tatizo la maji chuo kikuu cha Dodoma linatesa sana wasomi ambao wapo eneo hili.

Nawaonea huruma sana mabinti na wanawake ambao wapo hapa kwani inafika wakati inawalazimu kutoka nje ya chuo na kwenda kijijini kutafuta maji. Maana hawa wenzetu ni tofauti sana na sisi wanaume!

=======
Oktoba 20, 2013
Sikuwahi kuwaza kama kuna chuo chenye shida ya maji kama hiki.

Maji ni kidogo na ni chumvi hakuna mfano, hasa college ya education kwa walio home bado mtenge kabisa fungu la maji ya kunywa maana haya yaliyopo katu huwezi kunywa

Oktoba 22, 2013
Uzuri wa UDOM ni majengo tu ila ukikisogelea karibu kichafu cha kutisha, yaani tatizo la maji sijui wanashindwaje kutatua chuo kikubwa kama hiki. Yaani wanaendelea kujenga majengo mengine mengi tu lakini chuo hakina maji safi na salama. wamejitahidi eti kuchimba kisima lakini hayo maji yake ni afadhali wasingechimba maana yana chumvi balaa. Yaani ukiyaoga hakikisha unaogea sabuni ya unga la sivyo hutajisikia kama umeogea sabuni.

Tuje kwenye vyoo sasa ndio balaa lenyewe. Floor nzima yenye vyumba 40 na kila chumba wanalala watu 4 ina vyoo vinne vya kuchuchumaa na vinne vya kukaa. My foot! sijui nani aliwaambia waweke hivyo vya kukaa maana vyote vimeharibika sababu ya wanafunzi kupanda na miguu kwenye vyoo vya kuchuchumaa. Haya hivi vingine vya kuchuchumaa navyo ni majanga tu. Vingi vimeziba sababu ta watu kulundika kinyesi chao kwa pamoja. Wengine wanakunya vyumbani kwenye mifuko halafu wanaitupa mifuko kwenye ma-dust bin. Yaani UDOM ni majanga kwa upande wa maji. Serikali ya chuo haioni hatari hii, kuna siku tutazika watu hapa kwa milipuko ya magonjwa.

Serikali tunaomba mtafute suluhisho la maji kwanza kabla ya kuendelea kujenga ma-college mengine maana tukifika wanafunzi 50,000 kwa mwendo huu tutaathirika kisaikologia.
 
Watu kama nyie ndio mnaofanya udom idharaulike,sasa hili nalo ni suala la kuleta humu jf,kwa nin msilimalize nyie pamoja na viongozi wenu huko?
 
Me nakaa block 11 social maji yanamwagika we uko ngo'x nn? After all sio hoja ya kupost hapa mbona kijijini kwenu maji hakuna hujawahi kuja kuomboleza hapa?
 
Me nakaa block 11 social maji yanamwagika we uko ngo'x nn? After all sio hoja ya kupost hapa mbona kijijini kwenu maji hakuna hujawahi kuja kuomboleza hapa? What a preposterious?
 
Unapozungumza kitu kama msomi fanya utafiti.
Tangu nianze chuo huu ni mwaka wa pili sijawai kuvuka zaid ya block mbili kutafuta maji.
Isitoshe maji yanatoka bafuni nyakati za asubuh wakat wa asubuh kwa ajili ya kuoga na matank ya nje yanajazwa maji kwa ajili ya kufulia.
Tafadhal kama umekosa cha kuandika humu jf. Nenda kakamate kitini usome itakusaidia zaid maishani
 
Mliochangia naona mnatoka udom,huyo mtoa mada nahis anakichafua chuo chenu kionekane cha kata sasa!
 
Sikuwahi kuwaza kama kuna chuo chenye shida ya maji kama hiki.

Maji ni kidogo na ni chumvi hakuna mfano, hasa college ya education kwa walio home bado mtenge kabisa fungu la maji ya kunywa maana haya yaliyopo katu huwezi kunywa
 
ckiwahi kuwaza kama kuna chuo chenye shida ya maji kama hiki maji ni kidogo na ni chumvi hakuna mfano hasa college ya education kwa walio home bado mtenge kabisa fungu la maji ya kunywa maana haya yaliyopo katu huwezi kunywa

c udom pekee ake kwa kifupi maji ya mkoa wa dodoma c mazuri yana chumvi uctake kukifanya chuo kionekane vibaya.
 
Maji hayo yanatoka wapi? Ni yale ya Mzakwe
Ama Udom kumechibwa visima ?
 
Kama huwezi afford kununua maji ya kunywa,fanya urafiki na ng'ox huko kidogo yanaahueni.
 
uckipe chuo cfa mbaya we km mtt wa mama inabidi ukaze kibish, maji ya chumv n mkoa mzma wa dom, km vp hamia blok Q
 
Hamia mkwawa university ujionee maji yanavyo tiririka chuoni! Hadi chumbani kwako kwa wale wanaolala wawili wawili!-
 
Uzuri wa UDOM ni majengo tu ila ukikisogelea karibu kichafu cha kutisha, yaani tatizo la maji sijui wanashindwaje kutatua chuo kikubwa kama hiki. yaani wanaendelea kujenga majengo mengine mengi tu lakini chuo hakina maji safi na salama. wamejitahidi eti kuchimba kisima lakini hayo maji yake ni afadhali wasingechimba maana yana chumvi balaa. yaani ukiyaoga hakikisha unaogea sabuni ya unga la sivyo hutajisikia kama umeogea sabuni.

Tuje kwenye vyoo sasa ndio balaa lenyewe. Floor nzima yenye vyumba 40 na kila chumba wanalala watu 4 ina vyoo vinne vya kuchuchumaa na vinne vya kukaa. My foot! sijui nani aliwaambia waweke hivyo vya kukaa maana vyote vimeharibika sababu ya wanafunzi kupanda na miguu kwenye vyoo vya kuchuchumaa. haya hivi vingine vya kuchuchumaa navyo ni majanga tu. vingi vimeziba sababu ta watu kulundika mimavi yao kwa pamoja. wengine wanakunya vyumbani kwenye mifuko halafu wanaitupa mifuko kwenye ma-dust bin. yaani Udom ni majanga kwa upande wa maji. serikali ya chuo haioni hatari hii, kuna siku tutazika watu hapa kwa milipuko ya magonjwa.

Serikali tunaomba mtafute suluhisho la maji kwanza kabla ya kuendelea kujenga ma-college mengine maana tukifika wanafunzi 50,000 kwa mwendo huu tutaathirika kisaikologia.
 
Back
Top Bottom