Uhaba wa maji UDOM na athari zake...

Uhaba wa maji UDOM na athari zake...

Yaani tokea tulipooga na kunya jana, leo tumeamku hakuna maji si ya kuoga wala ya kunya, yaani saa hizi nimekaa nawaza niende kula cafe hayo maji ya kunyea nitatoa wapi? maana ukila tu lazima uende chooni kukatwa kidizain fulani, nipo hapa nawaza hata nisipokula kuoga je. waungwana wameshaanza kuyajaza hayo mavi huko vyooni kama kawaida yao hapa Block J ground floor si vyooni hakuna taa kwa hiyo waungwana wanashindana kuyalundika kwa kuwa hakuna mtu anayewaona du! hatari, Hii ndiyo UDOM bwana mbwembwe nyingi kumbe chuo cha kata tu, tulionywa sisi hatukusikia haya sasa mtu mzima nalala na mavi yangu tumboni na nitaamka nayo tu niingie nayo lecture kesho kwenye haya mjengo mazuri ya thietre za education. Ok bwana

Njoo L uchukue maji na ujisaidie
 
Back
Top Bottom