Elly Andrew
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 411
- 175
maji ya chumvi ndo tatzo? watoto wa cku hizi wanadeka kweli pamba mtoto wa kiume, mlivyokuwa mnaskia 2naandamana wanafunz wa vyuo huwa mnadharau na wazaz wenu na ku2kejel ovyo.mpambane nashukur nany mmejua vyuo vikuu kuna matatzo kibao
So unamshauri aache kudeka apambane na hayo maisha au aandamane like you did! I'm confused
we acha pigo za kike km uchafu upo ktk blok lenu,hlf maji ya chumv n mkoa mzima ila km vp ukienda kula kwa wajas maj c ya chumv xna, acha kukipaka matope chuo, choo COed blok Q uwone blok lilivyo safi hadi vyoo, watt wa mama utawajua 2, komaa kijana
kata katan
Duh! Mwandishi huyu ni Msomi wetu aliyeko Chuo Kikuu! Kazi kwelikweli!
acha uboya we utakua upo education njoo huku mjini humanities uone raha ya chuoooooooooooooo??????????????