Uhaba wa maji UDOM na athari zake...

Hapa umeleta ili iweje umeshindwa kwenda kwa viongozi wa UDOSO au waden wako jifunze kufata hatua ili utatue tatizo usiwe kama mtoto wa kike unasubiri utatuliwe tatizo
 

We kweli matunda ya mulugo.
 
daaaah ! mpak block umelitaja kweli wewe n muhucka wa UDOM
 
Vumilia umalize uondoke.Sisi pia tulivumilia ndugu yangu.Tatizo la maji UDOM halijapata utatuzi wa kudumu.
 
Bongo Bongo tu, serikali ikipewa kumsimamia mtu siku zote majanga, hicho chuo kingebinafsishwa ungeona mtu anavochapa kazi.. Hivi inakuaje shule inakosa maji ya kutosha? na maji ya kunywa inakuaje shule haina Water dispenser? hahaha bongo kushnehi, mtu ajitolee basi kufanya supply ya hii kitu na kufunga system nzima ya maji mashuleni hasa shule za government tuone kama serikali itampa tenda, ikigoma kama vipi awe mpiga kelele hata kwenye vyombo vya habari watu wapige kelele hadi serikali isikie.. Nchi yenye maji ya kutosha lakini kichwa sifuri... tembea nchi ambazo hata maziwa hakuna ila ona system yao ya maji ilivo nzuri utaona aibu kusema mimi mtanzania
 
Tafsida kijana, TAFSIDA *sigh

Tafsida ya nini wewe hujui kunya? Ndo ninyi mnaoita division O kuwa ni Division 5.teh teh teh teh. Akili yako sawa na ya Naibu Waziri mmoja kwenye serikali ya JK aliyeunganisha Tanganyika na Visiwa vya Zimbabwe akapata Tanzania. Yeba.!
 
Tafsida ya nini wewe hujui kunya? Ndo ninyi mnaoita division O kuwa ni Division 5.teh teh teh teh. Akili yako sawa na ya Naibu Waziri mmoja kwenye serikali ya JK aliyeunganisha Tanganyika na Visiwa vya Zimbabwe akapata Tanzania. Yeba.!

Ntakusamehe maana najua both your age and education are the faults. Ila kijana unatakiwa kujua kuwa in public such words are to be concealed sawa, Mchungaji wako au any religious leader au mtu mwenye akili sawa hawezi ongea hayo maneno kwenye kadamnasi ya watu. Na ndo maana mwalimu wako anakufundisha matumizi na faida ya Tafsida.
 
Kijana umenifanya niache Ugali wangu. Arrrrrgggggh
 
Invisible ni haki hili jukwaa liwe na watu kama hawa??? alafu anajiita mwanachuo!!
 
Last edited by a moderator:
Tafsida ya nini wewe hujui kunya? Ndo ninyi mnaoita division O kuwa ni Division 5.teh teh teh teh. Akili yako sawa na ya Naibu Waziri mmoja kwenye serikali ya JK aliyeunganisha Tanganyika na Visiwa vya Zimbabwe akapata Tanzania. Yeba.!

kwa mtindo huu na mawazo haya sioni umuhimu wa elimu bora wote tuwe wabeba mizigo na wapiga debe!!!
 

kwa mtindo huu na mawazo haya sioni umuhimu wa elimu bora wote tuwe wabeba mizigo na wapiga debe!!! HOPELESS..
 
Kijana kwakuwa unasomea ualim changamoto kama hzo ni kawaida mana mazngra ya kaz yko yatakuwa hvo so jtahd kuvumilia.
 


Kweli kabisa maji muhimu kwa dada ambao wapo katika siku zao.
 
Acha kuaibisha chuo ww,haya sio mambo ya kuweka hapa

Watu kama nyie ndio mnaofanya udom idharaulike,sasa hili nalo ni suala la kuleta humu jf,kwa nin msilimalize nyie pamoja na viongozi wenu huko?

nyie vijana mna matatizo yenu binafsi! hivi mada kama hii ikijadiliwa hapa kuna kosa gani??

hivi hamjui kwamba maji ndio kila kitu katika maisha ya mwanadamu? au mlitaka alete topic za kipuuzi za kupambanisha vyuo mlizozizoea? ... pumb.avuuuuuuuuu!!!
 
Naona kijana umekosa cha kuandika, mm nipo mwaka wa pili na cjawahi kuona shda ya maji km unavyoipigia debe hapa jukwaani, kama ndo umekuja jaribu kuuliza kuwa watu wanaishije ndo utafute cha kuandika nasio kukurupuka na kuandika upuuzi wako kama huu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…