Nkolandoto
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 4,102
- 4,028
Sheeeeeeenzzzzz hahahahahPolee kwa kunyimwa mzagamuo, kuna wenzio wanapewa ilalamo humo humo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheeeeeeenzzzzz hahahahahPolee kwa kunyimwa mzagamuo, kuna wenzio wanapewa ilalamo humo humo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ndo sababu kubwa, mimi nilikuwa najipa hata safari hewa ya week nzima ili nikirudi niwe nimemisiwa, hahaYakizungumziwa maswala ya kuoa mke zaidi ya mmoja mnaona waislamu hawatendi haki mara sababu hii mara hii lakini nyie nyie ndio mnahamasisha kutoka nje ya ndoa (Ukiona mke hakupi haki yako). Ungekuwa na mke zaidi ya mmoja hata huwazi issue kama hizo yeye kachoka unaenda kwa mwenzake
Miongoni mwa faida za mke zaidi ya mmoja mkeo anakuwa na hamu na wewe cos hukuwepo kwake kwa muda wa siku kadhaa. Sasa wewe kila siku hapo hapo binadamu tuna tabia ya kuchokana mnapokuwa mmekaa muda mrefu. Hata wewe pia unakuwa na ashki unavyopata kwa mke mmoja ni tofauti na unavyopata kwa mke mwingine