Yakizungumziwa maswala ya kuoa mke zaidi ya mmoja mnaona waislamu hawatendi haki mara sababu hii mara hii lakini nyie nyie ndio mnahamasisha kutoka nje ya ndoa (Ukiona mke hakupi haki yako). Ungekuwa na mke zaidi ya mmoja hata huwazi issue kama hizo yeye kachoka unaenda kwa mwenzake
Miongoni mwa faida za mke zaidi ya mmoja mkeo anakuwa na hamu na wewe cos hukuwepo kwake kwa muda wa siku kadhaa. Sasa wewe kila siku hapo hapo binadamu tuna tabia ya kuchokana mnapokuwa mmekaa muda mrefu. Hata wewe pia unakuwa na ashki unavyopata kwa mke mmoja ni tofauti na unavyopata kwa mke mwingine