Tetesi: Uhakiki: Maprofesa UDSM washindwa kuwasilisha vyeti vya sekondari,wawa wakali

Na mawaziri na manaibu waziri nao wataulizwa vyeti vyao?
 
Kama ni kweli wapo watoto walioonewa na kutupwa nje kielemu na wao kuendelea bora yule sos wa umeme ambaye machache alimsema kuwa karudia mara tatu leo ni professa??!!!
Hapa ndio naona shida ya uelewa wa watu!Huyo unayemsema au mwingine yoyote aliyerudia hata mara kumi ili afaulu hakutaka kutumia maksi za mtu mwingine!Alihakikisha anatumia haki yake kupata kilichomstahili mpk akaridhika!Mtu aliyerudia darasa la saba obviously marks ni zake na alaifaulu!
 
Kuna mbunge mmoja ninayemjua 100% aliishia kidato cha pili Kenya anatapika sana ung'eng'e lakini kwenye CV yake ameandika ana elimu ya kidato cha sita kutoka shule moja ya kanda ya kati. Nasubiri nione kama kwenye uhakiki huu kweli watamgundua.
duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…