Alienda nacho huko ili iwe nini? [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mh! Naskia cheti chake cha shule ya msingi kilipotelea kwenye miamba wakati anafanya utafiti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alienda nacho huko ili iwe nini? [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mh! Naskia cheti chake cha shule ya msingi kilipotelea kwenye miamba wakati anafanya utafiti.
Na mawaziri na manaibu waziri nao wataulizwa vyeti vyao?yaan mm nisome kuanzia chekechea mpaka university.
Halaf ww u forge vyeti, utumie cha mdogo wako au cha uncle wako halafu unasema upo sahihi. Ww ni mwizi km wenz wengine. Mnapokonya haki za watu.
Utakuta mtu uliyesoma naye anaitwa Lucas mwenda unakuja kushangaa mnakutana chuo eti anaitwa Peter kisamvu unabaki kushangaa tu.
Km zoez hili liko serious wengi wataimba namba. Tena kweny sector ya afya, elimu, army, police na politicians humo kuna majipu yamevaa kinoma.
Ila sipati picha wanaotumia vyeti vya kuforge hali ikoje kwao hiv ukiangalia life kitaa lilivyogumu duh!
Hapa ndio naona shida ya uelewa wa watu!Huyo unayemsema au mwingine yoyote aliyerudia hata mara kumi ili afaulu hakutaka kutumia maksi za mtu mwingine!Alihakikisha anatumia haki yake kupata kilichomstahili mpk akaridhika!Mtu aliyerudia darasa la saba obviously marks ni zake na alaifaulu!Kama ni kweli wapo watoto walioonewa na kutupwa nje kielemu na wao kuendelea bora yule sos wa umeme ambaye machache alimsema kuwa karudia mara tatu leo ni professa??!!!
Kwa vile nilisoma kihalali namba yangu ni 1085-mwaka 1967Acha upuuzi, wewe unaikumbuka?
Hongera. Binafsi sikumbuki. Na hata wewe haitakusaidia kwa kuwa hawana database ya kumbukumbu hizo. Take it from me. Tena mwaka wenyewe 1967????Kwa vile nilisoma kihalali namba yangu ni 1085-mwaka 1967
Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Kama hukumbuki na wewe ni jipu tu.Mbona hata mimi sikumbuki namba yangu? Huu ni utoto sasa.
Ndio hapo sasa. MTU ana hadi PhD ambayo aliipata kwa kutumia Kiingereza lakini kuongeà ni full broken!Wakimaliza huko
Waende kwenye vyama vya Siasa
duhKuna mbunge mmoja ninayemjua 100% aliishia kidato cha pili Kenya anatapika sana ung'eng'e lakini kwenye CV yake ameandika ana elimu ya kidato cha sita kutoka shule moja ya kanda ya kati. Nasubiri nione kama kwenye uhakiki huu kweli watamgundua.