Tetesi: Uhakiki: Maprofesa UDSM washindwa kuwasilisha vyeti vya sekondari,wawa wakali

Hivi kweli vyeti ya secondary ya kawaida na ya juu, vinauzito gani kwa mtu mwenye vyeti vya shahada kwenda juu? Urasimu mwingine hauna hata maana. Labda kama wangeajiriwa kwa vyeti vya secondary hapo ni sawa kwa misingi y akwamba tunahakiki ukweli wa viwango vyao vya elimu.

Urasimu wa kulazimisha vyeti ya secondary na wapi sijui, kwa mtu mwenye elimu ya juu, na anavyeti vyake, na kafanya vizuri tu, ni dalili yatokuelewa mantiki ya uhakiki ule.


 
We ni kihiyo vile vile, haibu ni nini

Ukiona mtu analia lia na kuunga mkono hoja za kijinga za kutotaka nchi hii iendelee basi huyo ni kihiyo kama wewe aliyeguswa na mwendo kasi wa maendeleo. Pole zako, vyeti vyako vya kazi ni halali?
 
Kama taifa naona kuna tatizo kubwa na pengine watawala wa awamu hii wameshindwa kutambua nini kinahitajika kwa mustakabali wa taifa kwa ujumla. Siku zinasonga lakini mambo yamesimama, umakini unahitajika vinginevyo twaweza angukia pua na kushindwa kabisa kuinuka.
 
Vipi mkuu na wewe ni mmojawapo.Mbona unatetea kwa mwendo kasi.
 
kwan hawa hawakusoma secondary? hofu yao nn watoe vyeti tu c walipewa? kma unaweza kutoa cha PHD je? cha form four nikizito kubeba au? wabebe tu! maoni yangu tu
 
mkuu, kwa udsm labda haupajui tu...kikubwa ni uwepo wa mtu, issue za vyeti is irrelevant; waliajiriwaje??

unashangaa mtu wa miaka ya 80 kupoteza vyetu vya sekondari? wa miaka ya sabini je?

usisahau...wao walikuwa wakimaliza shule wkifaulu wanapangiwa tu....
 
Kuna mtu alinambia hawa maprofesa wazee wengi ukiangalia performance zao za degree ya kwanza ni majipu...
Walipoingia wakaanza kubana vigezo na masharti ili wawe wachache...kuna watu hawana degree nzuri...tuanzie hapo...kwi kwi kwi...
 
Umeona eeh...
Isije kuwa walisomea vyeti vya ndugu zao...
Kusiwe na ubaguzi kwenye hili...leta cheti au evidence nyingine ...bhaaas....
JPM atagusa wengi sana kwenye hili la kugushi....
 
hahahaaa.......huko ni kuonyesha sisi na wao tofauti. kila nabii....
 
Ni wajibu wa mamlaka husika kuhakikisha tunauziwa vyakula salama popote nchini. Tatizo ni kwamba mamlaka hiyo ni ipi? TBS, TFDA au?


Unafanya mambo makubwa?Mambo gani ayo makubwa
 
Vipi mkuu na wewe ni mmojawapo.Mbona unatetea kwa mwendo kasi.

Hehe mkuu mi si profesa, hainiingii akilini tu mtu kamaliza degree, masters hadi PhD alafu unasema unataka cheti cha form four, wanaotetea cheti cha form four ni wale ambao walifeli huku juu, kama mtu kafaulu vizuri huku juu cheti cha form four hakina maana yoyote.


Watanzania mko obsessed na vyeti, ofcoz vyeti ni muhimu kwenye academics peke yake, in this case maprofesa ni muhimu wakawa na vyeti ila sio vya sekondari, hadi mtu kua profesa lazima alikua anapasua A za kutosha kuanzia degree kwenda juu, huyo sio mtu wa kumuomba cheti cha form four kabisa.
 
Tatizo ni kwamba mtu akifanya uchakachuaji O level ataendeleza mchezo huo hadi ktk PhD.Kuna ile orodha ya PhD feki za Mzumbe kama mfano hai
 

Hata mimi wala sikusumbuka kwenda kuchukua.

This is so ridiculously absurd.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…