OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
sio hujui kiko wapi simply hunaMi hata sijui cheti changu cha sekondari kiko wapi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio hujui kiko wapi simply hunaMi hata sijui cheti changu cha sekondari kiko wapi!
Wakati zoezi la kuhakiki vyeti vya watumishi wa umma nchini likiendelea,kizungumkuti kimejitokeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Taarifa zitakazo sifa zinadokeza kuwa Maprofesa na Wahadhiri waandamizi wengi wameshindwa kuwasilisha vyeti vyao vya sekondari:kidato cha nne na cha sita.
Taarifa zinaonesha kuwa Wahadhiri hao wametoa hoja,wakiwa wamecharuka, kuwa hawakuajiriwa kwa vyeti vya sekondari. Wamedai kuwa vyeti vyao vya Shahada,Stashahada na Astashahada vinatosha na kutisha. Wahadhiri hao,taarifa zinasema,wamekubaliwa kuhakikiwa kwa vyeti walivyoviwasilisha,bila ya vya sekondari.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
We ni kihiyo vile vile, haibu ni nini
Vipi mkuu na wewe ni mmojawapo.Mbona unatetea kwa mwendo kasi.Profesa unamuomba cheti cha Form four na six vya nini?
Hawa watu wamepitia degree, masters, phd, unaenda kuomba vyetu vya form four? hehehe! Mi vya kwangu hata shuleni sikwenda kuchukua, havinisaidii na wala hakuna aliyewahi ulizia, vya chuoni vinanitosha kabisa.
kwan wanakagua cheti cha kaz au wanahakiki ubora wa elimu yao?Ni sahihi, kwani nafasi walizonazo waliziomba kwa kutumia vyeti vya sekondari?
Umeona eeh...Jamani kama Prof umepoteza cheti haina sababu kulalamikia utaratibu. Nenda Baraza la Mitihani katafute records za vyet vyako. Sasa km Prof umechakachua cheti, utashindwaje kuchakachua utafiti? Uashindwaje kuchakachua vyeti. I am for Prof and Lecturers to provide proof of their secondary education certificates.
hahahaaa.......huko ni kuonyesha sisi na wao tofauti. kila nabii....Yaani hii nchi ni full the comedy. Yaani unamdaivProf cheti cha form four na six? Kwani kawa mwanafunzi wa digrii ya kwanza su diploma? Cheti cha F4 na 6 cha prof cha nini! Je km hana utamfukuza kazi? Km mtu ana digrii automatically vyeti vya chini vinakuwa havina maana. Hopeless! Mfano km sina hivyo vyeti lakini nina phd na nafanya mambo makubwa, utanidai cheti cha f4 cha nini?
Ni wajibu wa mamlaka husika kuhakikisha tunauziwa vyakula salama popote nchini. Tatizo ni kwamba mamlaka hiyo ni ipi? TBS, TFDA au?
Yaani hii nchi ni full the comedy. Yaani unamdaivProf cheti cha form four na six? Kwani kawa mwanafunzi wa digrii ya kwanza su diploma? Cheti cha F4 na 6 cha prof cha nini! Je km hana utamfukuza kazi? Km mtu ana digrii automatically vyeti vya chini vinakuwa havina maana. Hopeless! Mfano km sina hivyo vyeti lakini nina phd na nafanya mambo makubwa, utanidai cheti cha f4 cha nini?
una ugomvi na mbowe cheti cha form sixWakimaliza huko
Waende kwenye vyama vya Siasa
Vipi mkuu na wewe ni mmojawapo.Mbona unatetea kwa mwendo kasi.
Profesa unamuomba cheti cha Form four na six vya nini?
Hawa watu wamepitia degree, masters, phd, unaenda kuomba vyetu vya form four? hehehe! Mi vya kwangu hata shuleni sikwenda kuchukua, havinisaidii na wala hakuna aliyewahi ulizia, vya chuoni vinanitosha kabisa.
Mi hata sijui cheti changu cha sekondari kiko wapi!