Wewe ndugu yangu, miaka ni mingi sana, hawa watu wanaweza kuwa wamepoteza vyeti hivyo. Hivi kwa ushabiki wenu mnadhani kuna professor aliye katika chuo cha umma bila kuwa na sifa za form four?Hii ndio Tanzania, kwa hiyo waachwe kwa vile maprofea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndugu yangu, miaka ni mingi sana, hawa watu wanaweza kuwa wamepoteza vyeti hivyo. Hivi kwa ushabiki wenu mnadhani kuna professor aliye katika chuo cha umma bila kuwa na sifa za form four?Hii ndio Tanzania, kwa hiyo waachwe kwa vile maprofea?
Wakati zoezi la kuhakiki vyeti vya watumishi wa umma nchini likiendelea,kizungumkuti kimejitokeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Taarifa zitakazo sifa zinadokeza kuwa Maprofesa na Wahadhiri waandamizi wengi wameshindwa kuwasilisha vyeti vyao vya sekondari:kidato cha nne na cha sita.
Taarifa zinaonesha kuwa Wahadhiri hao wametoa hoja,wakiwa wamecharuka, kuwa hawakuajiriwa kwa vyeti vya sekondari. Wamedai kuwa vyeti vyao vya Shahada,Stashahada na Astashahada vinatosha na kutisha. Wahadhiri hao,taarifa zinasema,wamekubaliwa kuhakikiwa kwa vyeti walivyoviwasilisha,bila ya vya sekondari.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Kwani kuwa pro.kubeba cheti cha form four kuna tatizo gani kam hukuforge?.....kama unakataa kuleta cha form four tutaaminije kama uprof.ni wa ukweli?....leteni vyeti vyenu vya form four na la saba.....uprof.ni kuwa smart kama unaona Hamna haja ya kuonesha cheti cha form four....hupaswi kuitwa prof....
Dah.. nimesoma primary shule tisa, secondary shule sita na vyuo vikuu vitano 😀😀😀Ukitaka kuwapata vizuri cheti siyo tija adimission number ya uanafunzi ya shule ya msingi
Sikulaumu, avatar yako inatosha kabisa kujua ni mtu wa aina gani.Sijaona "logic" kwenye huu utetezi wako.Ni lazima uonyeshe vyeti vyote kwa nini wafiche.
Hueleweki jomba jipange.Sikulaumu, avatar yako inatosha kabisa kujua ni mtu wa aina gani.
Kutokuonyesha cheti sio kuficha, ka mimi sina cheti hicho sio kwa sababu naficha, nilipata one ya single digit ilitakiwa niwe mstari wa mbele kukionyesha ovyo, sikwenda kukichukua kwa sababu mbalimbali, matokeo ya degree yanatosha kabisa kuonyesha kua nipo vizuri academically. Nikimuonyesha mtu vyeti vyangu vya juu alafu akaniomba cha form four hapohapo nafuta applicationyangu, naenda kampuni nyingine, I can't work chini ya watu wanaojali vyeti kuliko kitu kingine.
Hawa lazima washupaliwe kabisa!!! Wapo wale ambao ktk familia, msjhindi alikuwa mmoja na wakaamua kutumia cheti kimoja familia nzima! Huyu Polisi, Yule Profesa, mwingine nesi, mwingine katibu wa chama, nk. sasa anayekataa kuleta cheti cha f.4 na 6 anataka thibitisha kwamba ni profesa aliyeanzia juu tu!Huyo atakuwa ni fisadi wa elimu. Inawezekana hata huo U professor wake ni fake vile vile.
Kwani wewe unadhani wanahakiki ili wakupe ajira? au wajue una divisheni gani? NO! Onyesha cheti ili tujue nani fisadi wa elimu. Kujua au kutokujua hilo halituhusu. Kama ulipata yote, hongera lakini bado tunataka cheti.Sikulaumu, avatar yako inatosha kabisa kujua ni mtu wa aina gani.
Kutokuonyesha cheti sio kuficha, ka mimi sina cheti hicho sio kwa sababu naficha, nilipata one ya single digit ilitakiwa niwe mstari wa mbele kukionyesha ovyo, sikwenda kukichukua kwa sababu mbalimbali, matokeo ya degree yanatosha kabisa kuonyesha kua nipo vizuri academically. Nikimuonyesha mtu vyeti vyangu vya juu alafu akaniomba cha form four hapohapo nafuta applicationyangu, naenda kampuni nyingine, I can't work chini ya watu wanaojali vyeti kuliko kitu kingine.
Very poor excuses.lazima wawe wakali sababu miaka yao wengi walisoma kwa kuunga unga and wengine walisoma nje ya nchi bila kuzingatia elimu waliokuwa nayo sekondari! kuna true story ya mtu mmoja sasaivi ni Prof pale SUA but hapo kabla alifika la saba then akaajiriwa shamba boy na mwingereza moja then baadae alimpleka uingereza akaaza course ya certificate akapiga diploma then degree and kwa ufaulu wake alipokuwa masters wamlipaga Phd moja kwa moja! ila kupewa Phd bila kufanya masters sio tatizo,ni kawaida! ila washkaji wake walikuja juu baada ya mshkaji wao baada ya kuishi uigereza kama 8 years karudi ana Phd na wanamkumbuka vyema kwamba kaishia la saba! and alikuwa shamba boy!
so usiwashangae sana na wao ndio wale wale! sema tunawahe
Hivyo vya sekondari ulivyotumia ni vyako? Hilo ndo swali la kukuondoa au kubaki. HAtuhitaji kujua elimu yako ya juu ni ipi. tunataka kuona vyeti vya elimu yako.Vyeti vya secondary vya nini wakati mtu unayo PhD kutoka Chuo Kikuu kinachotambulika? Utapataje Chuo bila Vyeti vya sekondari?
Mkuu, Prof. Ndalichako naye alirushwa na kupelekwa ktk darasa la PhD huko Canada baada ya outstanding performance ktk degree yake ya kwanza.Hivyo vya sekondari ulivyotumia ni vyako? Hilo ndo swali la kukuondoa au kubaki. HAtuhitaji kujua elimu yako ya juu ni ipi. tunataka kuona vyeti vya elimu yako.
Baadaye tutaangalia kama elimu yako inaendana na wadhifa wako. Siyo unapewa kuwa mkuu wa chuo kikuu kumbe wewe ndo bwege kuliko wote. Yupo mkurugenzi wa taasisi muhimu sana lakini eti hakuwahi kusoma digrii ya kwanza, ila akarukia ya pili kwa mwaka na PhD kwa miaka 2 tu!
Wale mafisadi wa elimu wa kitabu cha Msemakweli wako wapi?
Nimecheka kwa dharaaauuuWakati zoezi la kuhakiki vyeti vya watumishi wa umma nchini likiendelea,kizungumkuti kimejitokeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Taarifa zitakazo sifa zinadokeza kuwa Maprofesa na Wahadhiri waandamizi wengi wameshindwa kuwasilisha vyeti vyao vya sekondari:kidato cha nne na cha sita.
Taarifa zinaonesha kuwa Wahadhiri hao wametoa hoja,wakiwa wamecharuka, kuwa hawakuajiriwa kwa vyeti vya sekondari. Wamedai kuwa vyeti vyao vya Shahada,Stashahada na Astashahada vinatosha na kutisha. Wahadhiri hao,taarifa zinasema,wamekubaliwa kuhakikiwa kwa vyeti walivyoviwasilisha,bila ya vya sekondari.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Dodoma)
Kwani wewe unadhani wanahakiki ili wakupe ajira? au wajue una divisheni gani? NO! Onyesha cheti ili tujue nani fisadi wa elimu. Kujua au kutokujua hilo halituhusu. Kama ulipata yote, hongera lakini bado tunataka cheti.
Mambo ya sikuchukuwa, ulijiunga na chuo gani hicho kisichohitaji original certificates. Kama kilipotea, onyesha taarifa ya usalama. Wapo watu tunawajuwa wana cheti cha familia. kila mmoja anatumia hicho hicho.