Uhakiki: Nimehitimu darasa la saba 1992 Nitapaje namba yangu ya mtihani?

Uhakiki: Nimehitimu darasa la saba 1992 Nitapaje namba yangu ya mtihani?

hiram

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2013
Posts
266
Reaction score
393
Kuna fomu za uhakiki wa watumishi zikidai kuwekwa namba ya mtihani wa darasa la saba, Enzi hizo
1. Hakukuwa na Google
2. Tulikuwa tukiambiwa tu kwamba umefeli au umefaulu haupewi matokeo yako kamili
Nauliza wanajamvi mtusaidie je nakala ya matokeo yanaweza kuwa wapi?
 
Upo Mkoa, Wilaya, Kata, Kitongoji, Kijiji Gani
Wewe Number Hiyo Fika Shule Uliyosoma Utapewa Ama Kama Uliandikiwa Barua Ambayo Huwa Inatumika Kama Cheti Lazima Iwepo Number
 
Hii nchi ni stress everyday.

Nenda tu uliposoma vyeti vitakuwepo
 
Matokeo ya kuishi in a pithole country!nenda Home affairs na ID yako !
 
Nenda kwenye shule yako uliyosoma utapata kila kitu.. ilimrAdi uukumbuke mwaka io maliza.
Hizo data zinahitajika.. hasa kwenye usaili wa kitengo
 
Back
Top Bottom