ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kwamba sisi wa miaka hiyo tunakaribia kustaafu? Acha hizo mkuu, kama alienda shule kikawaida he's around 43 now!Lazima Anakaribia Kustaafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba sisi wa miaka hiyo tunakaribia kustaafu? Acha hizo mkuu, kama alienda shule kikawaida he's around 43 now!Lazima Anakaribia Kustaafu
Kama alianza darasa la kwanza kihalali akiwa na miaka 6/7 atakuwa alizaliwa mwaka 1979.
Kustaafu kisheria bado anadai miaka 17.
Tuliomaliza mwaka 1992 vyeti vya darasa la 7 havikutoka,mfno me natokea mkoa wa Kagera vyeti havikutoka,ila sijajua mikoa mingineKuna fomu za uhakiki wa watumishi zikidai kuwekwa namba ya mtihani wa darasa la saba, Enzi hizo
1. Hakukuwa na Google
2. Tulikuwa tukiambiwa tu kwamba umefeli au umefaulu haupewi matokeo yako kamili
Nauliza wanajamvi mtusaidie je nakala ya matokeo yanaweza kuwa wapi?
Nenda baraza la mitihani pale mwenge , kuna records zoteKuna fomu za uhakiki wa watumishi zikidai kuwekwa namba ya mtihani wa darasa la saba, Enzi hizo
1. Hakukuwa na Google
2. Tulikuwa tukiambiwa tu kwamba umefeli au umefaulu haupewi matokeo yako kamili
Nauliza wanajamvi mtusaidie je nakala ya matokeo yanaweza kuwa wapi?
unaona sasa!Mi tu niyemaliza la 7 mwaka 1985, kustaafu bado kuko mbali. Sembuse huyu? [50 thebe = 90 tambala].