Lazima Anakaribia Kustaafushkamoo
Kama alianza darasa la kwanza kihalali akiwa na miaka 6/7 atakuwa alizaliwa mwaka 1979.Lazima Anakaribia Kustaafu
SawaKama alianza darasa la kwanza kihalali akiwa na miaka 6/7 atakuwa alizaliwa mwaka 1979.
Kustaafu kisheria bado anadai miaka 17.
Sembuse Ndalichako leo?Hata jiwe tu hakuwahi kukagua cheti Cha lasaba.
Hata jiwe tu hakuwahi kukagua cheti Cha lasaba.
Kabudi hakuonyesha Cha form four ni professor wa mchongoHata jiwe tu hakuwahi kukagua cheti Cha lasaba.
Kwa atumbuliwe hahaKabudi hakuonyesha Cha form four ni professor wa mchongo