Uhakiki: Nimehitimu darasa la saba 1992 Nitapaje namba yangu ya mtihani?

Mi tu niyemaliza la 7 mwaka 1985, kustaafu bado kuko mbali. Sembuse huyu? [50 thebe = 90 tambala].
Kama alianza darasa la kwanza kihalali akiwa na miaka 6/7 atakuwa alizaliwa mwaka 1979.

Kustaafu kisheria bado anadai miaka 17.
 
Tuliomaliza mwaka 1992 vyeti vya darasa la 7 havikutoka,mfno me natokea mkoa wa Kagera vyeti havikutoka,ila sijajua mikoa mingine
 
Hii ni kwa ambao hawana vyeti vya form four, waliojiriwa kwa vyeti vya darasa la saba, vyeti vya form wanajaza index no
 
Nenda baraza la mitihani pale mwenge , kuna records zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…