Tetesi: Uhakiki vyeti TRA; 437 kupigwa chini

Tetesi: Uhakiki vyeti TRA; 437 kupigwa chini

Pagan Amum

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
1,932
Reaction score
4,403
Asante Rais Magufuli. Jitihada zako zinaenda kuzaa matunda kwa watoto masikini..

Baada ya lile sakata la NSSF kupiga chini zaidi ya wafanyakazi 200+ waliofoji vyeti, wiki hii TRA inatarajia kupiga chini watumishi wake zaidi ya 400 (437). Hawa ni walioingia bila sifa, waliofoji vyeti, walioingizwa na ndugu zao ambao waliokuwa vigogo...

Pamoja na hatua hiyo nzuri ila tunaomba serikali kuu isimamie hili zoezi kwa TRA, kwani kuna rushwa, na harufu ya kubebana ili kubakiza baadhi ya watumishi ambao hawana sifa...

Naomba nikuambie wazi kamishna Mkuu wa TRA, Ndugu Kidata ofisi ya HR inadhamiria kukudanganya katika hili zoezi. Wameamua kwa makusudi kulichukulia hili zoezi kimazoea. Hawajui hizi ni zama za Magufuli... Tafadhali Kamishna chukua hatua haraka sana.... Utadanganywa katika namba halisi...

My take: Naiona Tanzania Mpya chini ya Rais Magufuli
 
Kuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi
Na hicho kipindi walifanikiwa sana hawa jamaa lakini sahivi wanavyochomolewa na kupewa wengine nafasi basi utawasikia wanasema wanabaguliwa, huu ni ubinfsi wa hatari sana. Nyinyi sawa ila kwa wengine ahhhhaaàaa,!, shida.
 
Kuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi


Mkuu inasemekana wachagga walikuwa wanatamba TRA utadhani wana hati miliki.

Nachukia sana ukabila kwenye ajira. Na hili Kabila limekuwa likilalamikiwa sana.

Huwa najaribu kuwaza hali itakuwaje siku Tanzania ikipata Rais mchagga au mhaya!!

-Kaveli-
 
Ila ni uonevu unadaiwa cheti cha kumaliza shule ya msingi? wakati wengi tuliosoma miaka ya tisini vyeti hatukupewa.
 
Ahsante kwa tahadhari uliyotoa. Hata hivyo Kamishna wa TRA huenda asipitie huku, mwenye namba yake ya simu rushia hapa ili ataarifiwe.

Ni muhimu kumsaidia JPM kwa njia zote.

Mobile-friendly - Contact. Contact image. TRA Call Centre. P.O.Box 11491: Dar es salaam: Tanzania; 0800 750 075; 0713 800 333 (tigo) ...
 
Kuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi
Kaka yangu lizabon sina uhakika kama kabila Fulani wakiwa wengi basi wamefoji no
 
Back
Top Bottom