Kuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi
Acha ukabilaUkizaliwa mchaga tuu, wewe ni form 6.
Ukipigwa training basi tn unapiga kazi mwanzo mwsho.
Kuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi
Ukitaka kujua wachaga ni akina nani basi nenda kwenye vyuo na angalie kozi zote zilizo 'private' (wanazojilipia wenyewe) utakuta karibia 60% ni wao. Ni bora kuwaponda kwa mengine lakini naamini wachaga wenhye vyeti feki ni wachache sana au hawapo!sasa hivi anasema wengi ni wachaga, sasa sijui hao wenye vyeti feki wakifurumushwa na kubaki wachaga tupu atasema nini!!
Kuna wakati zaidi ya robo tatu ya wafanyakazi wa TRA walikuwa wachagga. Sijui kama wote walikuwa na vyeti halisi
Ukiwa mtoto wa maskini it makes you happy? Hayadah kazi ipo kama nawaona vile watoto wa maskini tunavyokimbilia hii fursa
Ukikumbuka pia miaka ya nyuma mashirika kama ya Tanesco,Bima na benki ya NBC yalikuwa yana atamiwa na watu wa mkoa mmoja wa Nyanda za Juu kulikuwa na ulemavu fulani kuwa Kichwa cha treni kikitoka eneo fulana kinavuta mabehewa toka eneo lile lile.Mkuu inasemekana wachagga walikuwa wanatamba TRA utadhani wana hati miliki.
Nachukia sana ukabila kwenye ajira. Na hili Kabila limekuwa likilalamikiwa sana.
Huwa najaribu kuwaza hali itakuwaje siku Tanzania ikipata Rais mchagga au mhaya!!
-Kaveli-
Watafaidi makada tu wa lumumbaSafi sana wenye sifa wapate nafasi japo tunaisoma namba kwa kusimamishwa vibali vya ajira lakini mbele Ni Neema kwa wengi na wanaostahili
Afadhali umempa ukweli huyoHao jamaa waliwahi pata elimu kitambo ww acha wivu
Nikweli kabisa mkuu hapa watu wanajipa matumaini kwa kujidanganganya tuKujinasibu mtoto wa masikini eti utapewa ajira kwa kuwa ni mtoto wa masikini haingii akilini,kwani hata mtoto wa masikini anaweza kufanya ghiliba kupata ajira.Utoaji wa ajira hauangalii mtoto wa masikini wala wa tajiri,ni sifa tu.
Kwenye issue ya vyeti feki mimi naunga mkono wote walio pata kazi kwa vyeti vya kichina watemeshwe kazi na ikibidi washitakiweNani kasema wachagga waangushe? utaangushwa tu kama una vyeti vya kuchongea Kamata k/koo.
Hahaha, naona unapanic sana na hii inshu ya vyeti feki hapo TRA. Jiandae tu kisaikolojia Mkuu.
-Kaveli-
Mkuu hao walio foji vyeti washitakiwe na kulipishwa mishahara yote waliyokwisha pokea kwa kutumia hivyo vyeti maana ni uhujumu uchumiVyeti havinihusu! I am a retired officer, nasikitika wewe kushangilia kuanguka kwa wenzako. Mtu inabidi usikitike! Kama wewe si shetani, inabidi usikitike. Hata mtu akihukumiwa kunyongwa, huwa hatushangilii, tunasikitika lakini tunasema sheria inasema hivyo. Wewe unashangilia!
Kwetu sisi makada hatuna shida hiyo maana kupata ajira ni haki yetundo mjichimbie sasa kwenye kusoma jinsi ya kujibu maswali ya interview na kujenga confidence,,mnafikiri mtaitwa kama mnaenda kupokea sekrament,,,google sio kuangalia mambo ya udaku,,,kuna mazuri na majibu na mswali yote na jinsi ya kujibu interview yamejazana huko,,,,,,msisahau pia short list ya hesabu na English kupiga panga waombaji,,,kama umefanya interview za LAPF na PPF utanielewa,,,,espirato santus
Punguza ukali kyoomaLAANA HAITAKUACHA, KWA HERI
Huyo kazi yake ni kurohoja tuMkuu unaushahidi na hili??
Huko ccm kwenyewe amekalia kuti kavuWenzako wapo shule wanapiga kitabu huku wewe ukishinda JF kuwatetea fisiem, utabakia hapohapo..
Hao hawatakiwi kuombewa jema ni sawa na wahujumu uchumiNa iwe hivyo Mkuu. Binafsi naunga mkono sana hizo juhudi za serikali kurejesha nidhamu & real professionalism kwenye utumishi wa umma.
Ni hatari sana Taifa likiwa na incompetent work-force ilojaa villaza, vyeti feki, na magumashi. Ni msiba!
"Lazy Affair Life" is no more!
-Kaveli-