Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
- Thread starter
- #81
Hahahahaha...dah utofauti upo sana Mkuu..hata wewe unauona huo utofautiMkuu, kwa sasa umezeeka sana, si ndio? Hivi ule ujana wa kipindi hicho bado unauhishi hadi leo? Au ndo hivyo umewaachia vijana!?
Unauzungumziaje utofauti wa kimaisha enzi zile unaanzisha uzi huu na sasa? Au ulianzisha huu uzi ukiwa kachalii ka miaka 9 kwenda kwa Maua Evalist?
Kipindi hicho niko kijana ..sishikiki $ kama zote ..full bata ..huu uzi nilikua nachombeza chombeza