Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaah iko lipo pia mkuu hasa kwenye Mambo ya biasharaKweli unaweza kuwa mbali na yote uliyoweka hapo,lkn bado watu wakawa wanakufuatilia kutaka kujua mishe zako na wakishajua tu,ndio wanakutengenezea kipindi sasa.
Ndio hivyo mkuu,yaani Polisi ni shida tupu.Sio masiala mkuu Ila nahisi wanakula nao ukiona mtu Kaka matwa pale jua nashindwa kuenda sawa nao
Hakika ndugu yangu.Inasikitisha sana...
Hali ni mbaya mkuu,mtu asiyeishi hapa hawezi kuelewa hata ukimuelewesha.Pole Sana Ndugu, Juzi jamaa yangu amepigwa nakuporwa simu mbili na fedha taaslimu huko huko Tunduma
Sawa,ngoja tuone.Wamempeleka Teopista Mallya kuwa RPC ngoja tuone
Yote sawa,maadam imeeleweka.Uharifu = uhalifu
Haya yote ni majeshi yetu ya ulinzi. Sioni tatizo wakutumika hasa kipindi hiki ambacho tuna amani ya kutosha na nchi majirani zetu. Nawasifu sana mikoa ya Katavi na Kigoma kwa sababu wao huwatumia sana JW kwenye operesheni/doria za kukabiliana na wavamizi na waharibifu wa misitu ya hifadhi na wanyama pori. Imesaidia sana kuwadhibiti hawa majangili na wavamizi wa maliasili zetu, ambao wengine ni jeuri, majatili na wana mpaka silaha za moto.Yaani iwekwe kambi ya jeshi kwa sababu ya vibaka? Jeshi unalichukulia poa sana inaonekana.
Sema iundwe kanda maalum ya kipolisi. Hiyo ni kazi ndogo sana.
Hao vibaka ni mnaoshinda nao na labda hata kununuliana msosi.
Asilimia kubwa ya uhalifu wa hivyo hutekelezwa na wazawa wachache wa eneo husika.
Si ndiyo hapo sasa!!Sasa km jeshi la Polisi limezidiwa, kuna ubaya gani wa kuomba jeshi litusaidie?
Jeshi la Wananchi sio kazi yake kuzuia vibaka acha kujitoa ufahamu. Kazi za migambo inayoshika rungu na kuvaa tisheti ndio unataka ijengwe kambi ya jeshi. Yani tujenge kambi kisa vibaka wanaopiga roba? Kuwa serious na vipaumbele vya nchi.Sasa km jeshi la Polisi limezidiwa, kuna ubaya gani wa kuomba jeshi litusaidie?