Haya sasa kuanzia matokeo ya darasa la saba,kidato cha pili na sasa kidato cha nne nani zaidi kati ya Serikali na Walimu?
Naomba kuwasilisha!
Kwa kifupi kwa sasa hakuna wanafunzi, Mimi hapa Mtaani kwangu wapo ambao wamemaliza mwaka Jana na kila muda utawakuta wako Group wanabisha na kuhusu Ligi ya Uingereza kwa sasa matokeo yametoka wote wamalamba 0 na niliwahi kuwaekeza kwamba atakaye faniukiwa kupata D FOUR ningempa TSH 100000
kazi ipo mkuu wangu na kwa sasa wengi wataishie kwenda kusoma kozi za ajabu ajabu mata Computa, mara Hoteli Managment, Mara sijui Air Ticket wakati Ndehe zenyewe hakuna na kwa sasa kila kitu ni Online
Tatizo kubwa ni wanafunzi wenyewe unasubiri utafuniwe cc tulikuwa tunapambana wenyewe kusoma, wakat wao facebook na jamii forum masaan 24,headphone masikion muda wote wanawaza mapenzi wakati wote unategemea nn! thamani ya elimu itarudi kule kule tulipotoka shule nzima anafaulu mmoja tuKatika hali isiyo ya kawaida,jana tumeshuhudia Waziri wa elimu Mheshimiwa Kawambwa akitangaza matokeo ya kidato cha IV kwa watahiniwa waliofanya mtihani mwaka 2012,ambapo hali ni mbaya sana na hakuna Mtanzania ambaye hajaguswa kwa hili.Je,kati ya hawa washika dau wa elimu nani alaumiwe zaidi? 1.Serikali 2.Waalimu 3.Wanafunzi 4.Wazazi/Walezi wa watoto?
Watashinda vipi ilihali wanasombwa kwenda kwenye mikutano ya hadhara ya CCM???? Huwa hamuwaoni wanavyotanda na kupndeza mkutano? Wazazi na kamati za shule msikubali watoto wenu kuhudhulia idha kwa kutaka au kulazimishwa na watawala, wakwao mbona hawawagusi? Kwa nini wafanye hivi kwa watoto wa wakulima/ Kayumba (Msingi na Sekondari/yeboyebo) ilin hali watoto wao wakichapa kitabu st.....au majuu??