Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

Kilimo kwanza elimu baadae kuwa mpole chagueni ccm 2015 ... Ndo tutaanza kuangalia masuala ya elimu.hata hivyo serikali haina hela ya kuwakopesha watu wote hawa wakifauli... Ndugu watanzania tuangalie jambo moja kwanza... Kwani hawa watoto wakienda vyuo hawa watatuondoa madarakani... Hebu tusubiri kwanza....
 
Kha! ni janga la kitaifa, alafu mtasikia kunatakwimu zitatolewa zikieleza ukuaji wa Elimu ya Tanzania
 
Any updates wakuu..ivi bado kati ya kawambwa au mulugo hakuna aliyepo tayari kujiuzulu? na itafika jioni hawajaitisha press conference kutangaza nia yakujiuzulu? wasipojiuzulu. basi wanafurahia yanayotokea.
 
Tusidanganye, ukweli halisi waliofaulu ni 6.39% (Division One mpaka Three). Division Four na Zero ukweli ni kuferi na ni 93.61%. Kwa hali hii kweli Tanzania tutafika?? Au kama jammaa alivyosema- ni nani katuloga????
 
ni kweli kabisa, safari hii ndio mtihani wamesahihisha vizuri. Elimu ni tatizo wajameni na hao watoto tupo nao na tunajua madhaifu yao na mfumo wa elimu kwa ujumla, hii miaka ya nyuma kidogo wamekuwa wakisahihisha kisiasa mno na kutudanganya tu, ona wanaomaliza vyuo vikuu Tz siku hizi alafu waambie watete shahada zao, ni tatizo kwelikweli!
 
Haya sasa kuanzia matokeo ya darasa la saba,kidato cha pili na sasa kidato cha nne nani zaidi kati ya Serikali na Walimu?

Naomba kuwasilisha!

Mkuu hii ngoma haikuanzia kwenye matokeo ya wanafunzi. Matokeo ya kira za urais 2010 Kikwete alipata 60% ikiwa ni kushuka kwa 20% kwa yale ya 2005 sababu ilikuwa ni sizitaki kura zenu...huku walimu ndo wasimamizi, ikafuatiwa na sensa ya 2012 matokeo yake mshangao tu leo hii wamehitimisha na yale ya fani yao....tutashuhudia simanzi ya taifa
 
Katika hali isiyo ya kawaida,jana tumeshuhudia Waziri wa elimu Mheshimiwa Kawambwa akitangaza matokeo ya kidato cha IV kwa watahiniwa waliofanya mtihani mwaka 2012,ambapo hali ni mbaya sana na hakuna Mtanzania ambaye hajaguswa kwa hili.Je,kati ya hawa washika dau wa elimu nani alaumiwe zaidi? 1.Serikali 2.Waalimu 3.Wanafunzi 4.Wazazi/Walezi wa watoto?
 
wanafunzi wenyewe hawana muamko na elimu.utawakuta wanafunzi wanazurula mlimani city ,posta na coco beach tena mida ya masomo . Ukifanikiwa kusikiliza story zao story za bongo flavor za akina diamond au man united. Dream zao eti nao wanataka kutoka wawe kama lulu ,wema au diamond. Watadai ukosefu wa walimu ila nakumbuka ile miaka ya 90 shule kama azania na baadhi ya shule za goverment unaweza kukuta tokea unaanza form 1 hadi unamaliza hujawahi kufundishwa kiswahili au physics lakini wanafunzi walikuwa wanatafuta wenyewe materials na mwishowe wanapiga vibanda na wanakwenda special school
 
UBAYA WA MATOKEO YA FORM 4 INAWEZEKANA PIA HUWA WANATUMIA HAYA MANENO YA SHORTCUT KTK KUJIBU MITIHANI YAO KAMA WANAVYOKUWA WANACHAT KWENYE SIMU, MAANA WANACHAT VIZURI SANA KWA LUGHA YA KINGEREZA NA KISWAHILI LAKIN WANAPATAJE F MASOMO HAYO YOTE MAWILI(ENGLISH AND KISWAHILI) JAMANI,
mfano:
sana=xana
great=gr8t
thanks=tx
goodnight=g9t
like=lyk
form=4m
phone=4n
K = Okay
YW -=your welcome
NP= no problem
IDK -=i dont know
CU -=See You
L8R = Later
BF = BoyFriend
IC = I See
n.k
 
Kwa kifupi kwa sasa hakuna wanafunzi, Mimi hapa Mtaani kwangu wapo ambao wamemaliza mwaka Jana na kila muda utawakuta wako Group wanabisha na kuhusu Ligi ya Uingereza kwa sasa matokeo yametoka wote wamalamba 0 na niliwahi kuwaekeza kwamba atakaye faniukiwa kupata D FOUR ningempa TSH 100000

kazi ipo mkuu wangu na kwa sasa wengi wataishie kwenda kusoma kozi za ajabu ajabu mata Computa, mara Hoteli Managment, Mara sijui Air Ticket wakati Ndehe zenyewe hakuna na kwa sasa kila kitu ni Online
 
Watashinda vipi ilihali wanasombwa kwenda kwenye mikutano ya hadhara ya CCM???? Huwa hamuwaoni wanavyotanda na kupndeza mkutano? Wazazi na kamati za shule msikubali watoto wenu kuhudhulia idha kwa kutaka au kulazimishwa na watawala, wakwao mbona hawawagusi? Kwa nini wafanye hivi kwa watoto wa wakulima/ Kayumba (Msingi na Sekondari/yeboyebo) ilin hali watoto wao wakichapa kitabu st.....au majuu??
 
Mpaka Kawambwa alete mtaala,utaanzaje safari wakati unakokwenda hukujui? Majamaa yalimdanganya PINDA,eti walimu wakipata kazi ya sensa,wataharibu kumbe alitaka wawa weke watoto wao na jamaa zao,wakaambiwa fungueni shule basi mlizotuambia tufunge ili tukahesabu watu,hawkutaka,walimu wakapumzika,sasa muda wote uliopotea ndiyo watoto wasiathirike tu?Kawambwa jihudhuru.....!
 
Katika hali isiyo ya kawaida,jana tumeshuhudia Waziri wa elimu Mheshimiwa Kawambwa akitangaza matokeo ya kidato cha IV kwa watahiniwa waliofanya mtihani mwaka 2012,ambapo hali ni mbaya sana na hakuna Mtanzania ambaye hajaguswa kwa hili.Je,kati ya hawa washika dau wa elimu nani alaumiwe zaidi? 1.Serikali 2.Waalimu 3.Wanafunzi 4.Wazazi/Walezi wa watoto?
Tatizo kubwa ni wanafunzi wenyewe unasubiri utafuniwe cc tulikuwa tunapambana wenyewe kusoma, wakat wao facebook na jamii forum masaan 24,headphone masikion muda wote wanawaza mapenzi wakati wote unategemea nn! thamani ya elimu itarudi kule kule tulipotoka shule nzima anafaulu mmoja tu
 
Watashinda vipi ilihali wanasombwa kwenda kwenye mikutano ya hadhara ya CCM???? Huwa hamuwaoni wanavyotanda na kupndeza mkutano? Wazazi na kamati za shule msikubali watoto wenu kuhudhulia idha kwa kutaka au kulazimishwa na watawala, wakwao mbona hawawagusi? Kwa nini wafanye hivi kwa watoto wa wakulima/ Kayumba (Msingi na Sekondari/yeboyebo) ilin hali watoto wao wakichapa kitabu st.....au majuu??

Haa mikutano ya CCM? Kwani CCM imeanzishwa lini!
 
Mwalimu ni Kila kitu, wengine ni mtokeo tu! ITACHUKUA MDA SANA KUTOKEA KWA MWANASIASA MWENYE UTASHI NDO AJE KUTAMBUA UMUHIMU WA MWL. NI SAWA NA KUMDHARAU MAMA ALIYEKUZAA UKIDAI ETI NI BAHASHA. MWALIMU KURIPOTI ASUBUHI NA KUKAA SIO KAZI, NAFUNDISHA NKIJISIKIA KM WAO WANVOFANYA WAKIJISIKIA. KUNA VIONGOZI WANA VICHWA VIDOGO HAVIWEZI KUBEBA VITU VINGI WAJAMENI Aiiiiii......! Heshima kwa mwalimu irudi. KWANI KUNA KIPYA? SI HIVI HIVI TANGU ENZI ZA BABU ZETU, NA HAVIBADILIKI KM MENU ZA SIMU KILA KUKICHA. Chukua barua.
 
Back
Top Bottom