Duuh tuna kazi kubwa!!.Necta wametangaza matokeo..jamani watu wamefeli sana, hiki kizazi sijui kinaelekea wapi..hali ni tete!
Hongera kwa waliofaulu, waliofeli ni wao kujipanga sana.
Kwa mujibu wa habari hii chini, tunaweza kusema:
Kati ya wanafunzi 397,136 waliofanya mtihani; 240,750 walipata SIFURI!
- Division I - 1,641 => 0.41%
- Division II - 6,453 => 1.62%
- Division III - 15,426 => 3.88%
- Division IV - 103,327 => 26.02%
- Division 0 = [397,136 - (1,641+6,453+15,426+103,327)] -> 270,289 => 68.06%
Vitabu vya Nyambari Nyangwine
Na bado...........