Matokeo ya kidato cha nne yanathibitisha hoja ya James Mbatia kuhusu udaifu wa elimu na kukosekana kwa mitaala. Nimefurahi kuona viongozi wa CCM wakiwa wakwanza kuonyesha mstuko kutokana na ubaya wa matokeo hayo. Ifuatayo ni post Ya January Makamba aliyoituma kwenye page yake ya facebook;
January Y. Makamba
Disastrous Form 4 Results. Div 1 - 1,641; Div 2 - 6,453; Div 3 - 15,426; Div 4 - 103,327; Div 0 - 240,903. Div 1-3: Boys 16,342, Girls 7,178.
We need to have a national conversation about education in Tanzania. We need to do something. URGENTLY. New Katiba is fine but this is the future.
Je hii si kukumbuka shuka asubuhi?