Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili linasababishwa na siasa zilipo kwenye matokeo ya darasa la saba na kidato cha pili imesababisha wengi wasistahili kufika form 4 wamefika,maana haiwezekani mtu afaulu vzr form 2 halafu asilimia kubwa yaani 86% kwa haya matokeo ije ifeli form4.uzuri hawa NECTA hawana siasa hata kidogo pia hata nature ya mitihani yao kama hujui utajulikana tutatizo si walimu hao watoto ni mitatizo. UWEZO WAO WA KUFIKIRI UPO CHINI ZAID YA KIWANGO CHA KAWAIDA AMBACHO WALIPASWA KUWANACHO!
nahisi ndio maana hawajaweka majina ili usijue mtoto wa nani kafeli ila its dis appointing sana yaaani hizo div 0 hadi kero
Na kweli hueleweki!!
Nahs face book, bbm, twitter, jf etc wamechangia kufeli kwa hawa viumbe,
Kizaz cha .com kaz kweli kweli